Huyu jamaa ana 34yrs, kwenye soka ni mhenga kabisaSekuhaha si n muhenga kweli siku nyingi namsikia
NgomaSserunkuma mwingine anukia
Acha uongo wewe chura huyu mchezaji ana miaka 22Sekuhaha si n muhenga kweli siku nyingi namsikia
Kwa taarifa tu Huyo bwana jonas sakuwaha ni mchezaji mzee na alishawahi kuja hapa bongo kucheza akiwa na club ya el marreikh ya sudan katika kagame cup ya 2011 na inaonesha ana miaka 34 sa hv sasa kiafrika mchezaji kusema umri wake halali kama mnavyojua wito wangu simba iachane na mchezaji huyu kwani kwa hatua simba inapoelekea kuwa ya kisasa kusajili wachezaji wanotafuta pension si wakati wake huu hata kama tunataka wanaotafuta pension tujitahidi kuleta wale waliovuma katika soka ili tuweze kuvutia wachezaji toka mataifa mablimbali kuja kucheza ligi ya bongo mfano si mbaya kumleta emmanuel adeabayor,ariside bance, na si hawa waliocheza katika low profile na sasa wanatafuta pension
Straika Mpya Kutoka Zambia, Jonas Sehukawa ameifungia klabu ya Simba goli la Pili katika ushindi wa goli 3-1 ilioupata Simba dhidi ya klabu ya KMC jioni ya leo.
Sehukawa ameweza kuifungia timu hiyo goli ambalo huenda likampatia tiketi ya moja kwa moja kusaini mkataba wa kuitumikia simba wakati dirisha la usajili likielekea kufungwa.
Hahahaha pape ndawHivi Pape Ndaw mechi za majaribio hakufunga??
Nimemkumbuka sana huyu foward matata toka mitaa ya msimbazi nasikia mnataka kumrudisha tena