THE GREAT CAMP
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 765
- 194
Jamani tusiwe wepesi wa kulaumu hii kampuni iko njema sana. Kumwaga zege hadi likauke sio kazi ya siku moja wala mbili na ukumbuke kabla ya kuweka hilo zege kuna Landscaping kubwa sana imefanyika.
Nakumbuka ujenzi wa Sam Nujoma ulilalamikiwa sana huku walalamikaji wakizisifia kampuni zilizokua zinajenga Shekilango na Kilwa roads. Leo hii nenda kajionee tofauti ya roads hizo.
Nadhani tuweni nasubiri sometimes
Kama STRABAG hawafai pendekeza kampuni unayoona inafaa ipewe kazi.
mburula wewekwa wageni wa dsm hii ni kampuni inayotengeneza barabara ya morogoro kwa ajili ya magari yaendayo kasi. Kwa mtazamo wangu kampuni hii imeonyesha udhaifu sana katika kufanya kazi, kiasi kuna wakati najiuliza iliwezaje kupata hii kazi jamani. Fikiria, wamechimbachimba kwa ustadi mkubwa barabara toka kimara, ubungo, manzese hadi town center, sasa ishu ngumu ni kuijenga hiyo barabara! Wanajenga kwa mwendo wa konokono kiasi cha kuwapa shida sana watumiaji wa barabara.
hapo ubungo stend ndo balaa tupu hakuna utaratibu mzuri haielewi hata gari zinapitaje.binafsi nimeshashuhudia kuna makampuni yanafanya kazi katika eneo finyu mfano unakuta barabara upande mmoja ina shimo/bonde upande mwingine kuna mlima lakini wajomba wanapiga kazi inaenda vema na magari yanapita vizuri lakini hawa jamaa wamepewa sehemu kubwa ya kufanyia kazi lakini bure kabisa!!!!
kwa wageni wa dsm hii ni kampuni inayotengeneza barabara ya morogoro kwa ajili ya magari yaendayo kasi. Kwa mtazamo wangu kampuni hii imeonyesha udhaifu sana katika kufanya kazi, kiasi kuna wakati najiuliza iliwezaje kupata hii kazi jamani. Fikiria, wamechimbachimba kwa ustadi mkubwa barabara toka kimara, ubungo, manzese hadi town center, sasa ishu ngumu ni kuijenga hiyo barabara! Wanajenga kwa mwendo wa konokono kiasi cha kuwapa shida sana watumiaji wa barabara.
hapo ubungo stend ndo balaa tupu hakuna utaratibu mzuri haielewi hata gari zinapitaje.binafsi nimeshashuhudia kuna makampuni yanafanya kazi katika eneo finyu mfano unakuta barabara upande mmoja ina shimo/bonde upande mwingine kuna mlima lakini wajomba wanapiga kazi inaenda vema na magari yanapita vizuri lakini hawa jamaa wamepewa sehemu kubwa ya kufanyia kazi lakini bure kabisa!!!!
Wewe tatizo lako ni exposure! Wewe ni kati ya wale watu wanaofikiri hakuna godoro zuri kuliko analolalia baba yake.. just because hawajatembea na kuona. Ni kweli katika ujengaji wa barabara kuna karaha, lakini karaha anayozungumzia mwanzisha thread ni zaidi ya karaha... ni uzembe ni uongozi mbaya ni kila aina ya ushetani. Nimetembea na kuishi sehemu nyingine za dunia lakini sijawahi kuona ujenzi usiojali watumia barabara kama huu. Naona wajenzi wanakwepa kuingia gharama zinazoendana na kupangilia mambo yaende smoothly. Na haya madodoki yetu ya ccm kama kawaida yanafukuzana kuibia wanyongo na hayaoni kadhia yoyote!Ni uzoefu wa watanzania kulalamika katika kila jambo ingawa baadae litakuwa na manufaa kwa kila mmoja wetu: kuna baadhi ya mambo ya kujiuliza je ingelikuwa kwamba hii barabara ujenzi wake haujaanza mpaka leo na kubaki kama ahadi si tungelalama na kusema serikali haitekelezi kabisa ahadi na miradi iliyopo?barabara kiukweli kwa leo imekuwa tabu kupitika kwa sababu ambazo kama wewe unakaa Dar Es Salaam utakuwa umeshuhudia mwenyewe jinsi mvua zilivyokuwa zinanyesha kwa muda mrefu kwa hiyo ndugu mdau kuwa na subira kwani kila maendeleo huja na changamoto zake
Ni muda muafaka kujitoa humu jamii forum kuna watu wanaolalamika wavivu wajinga.....nisije nikaingia katika kundi hili hawa ni wajinga toka darasani ....foools
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Na juzi nimepita kuelekea Mikoa ya Kaskazini wamefumua njia kuanzia korogwe mpaka Mwanga,Na shughuli wanayofanya ni ya uhakika sana.Jamaa wako vizuri sanaMshazoea wachina wangekua washamaliza kisha baada ya miezi sita mnakoma kuringa
kumbuka jamaa hawajengi barabara tu.wanatengeneza pia miundombinu ya mifereji kupitisja majitaka ndani kwa ndani.bila kusahau wanaboresha line za mawasiliano.
Kwani mbona wachina wanaosifika kwa utengenezaji wa bidhaa bora kabisa za kiteknolojia kwenye soko la Ulaya, ndiyo wanaoongoza kwa uingizaji wa bidhaa dhaifu Afrika hususani Tanzania?mkuu mimi bado ninaimani na utendaji kazi wa kampuni ya STRABAG.naomba tutulie wapige kazi.sina mashaka na kampunii hii,labda ubabaishaji wauanzie hapa Tanzania.nilikua nafatilia report flani hiv,katika kampuni za ujenzi bora duniani,STRABAG ni kampuni ya 6 kati ya 10 kwa ubora wa kiutendaji dunian.
Ni uzoefu wa watanzania kulalamika katika kila jambo ingawa baadae litakuwa na manufaa kwa kila mmoja wetu: kuna baadhi ya mambo ya kujiuliza je ingelikuwa kwamba hii barabara ujenzi wake haujaanza mpaka leo na kubaki kama ahadi si tungelalama na kusema serikali haitekelezi kabisa ahadi na miradi iliyopo?barabara kiukweli kwa leo imekuwa tabu kupitika kwa sababu ambazo kama wewe unakaa Dar Es Salaam utakuwa umeshuhudia mwenyewe jinsi mvua zilivyokuwa zinanyesha kwa muda mrefu kwa hiyo ndugu mdau kuwa na subira kwani kila maendeleo huja na changamoto zake
Kama STRABAG hawafai pendekeza kampuni unayoona inafaa ipewe kazi.
Ujenzi wa barabaara sio kama production line ya vyupa vya bia pale karume...ukiweka tu vinafika end point.
Jamani tusiwe wepesi wa kulaumu hii kampuni iko njema sana. Kumwaga zege hadi likauke sio kazi ya siku moja wala mbili na ukumbuke kabla ya kuweka hilo zege kuna Landscaping kubwa sana imefanyika.
Nakumbuka ujenzi wa Sam Nujoma ulilalamikiwa sana huku walalamikaji wakizisifia kampuni zilizokua zinajenga Shekilango na Kilwa roads. Leo hii nenda kajionee tofauti ya roads hizo.
Nadhani tuweni nasubiri sometimes
Unataka waripue fasta, halafu uanze tena kulalama
Strabag wanafanya kazi kwa juhudi sana, tena wanajitahid japo mazinngira ya kazi ni magumu, ujenzi wa mjin tena ni kuboresha barabara kwa kuijenga upya ni mradi mkubwa na unahitaji muda, tuwavumilie tu watamaliza ndan ya muda wa mkataba wao.
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Mshazoea wachina wangekua washamaliza kisha baada ya miezi sita mnakoma kuringa
kumbuka jamaa hawajengi barabara tu.wanatengeneza pia miundombinu ya mifereji kupitisja majitaka ndani kwa ndani.bila kusahau wanaboresha line za mawasiliano.
Afadhali umenisaidia kumpa jibu linalo jitosheleza.Wa Tz tupunguze kupiga domo. Mnataka walipue kazi halafu mje na hoja ya kusema CCM wameiba hela kwa kutujengea barabara mbovu? Aaagh nchi hii labda aje YESU kututawala.
Nadhani watu wengi humu ndani hatuchambui vizuri nini mleta mada ameleta hapa. Hakua mtu aliyehoji uwezo wa hawa jamaa bali uzembe katika utendaji kazi upo dhahiri.Mleta uzi kazoea kazi za wachina.Faster with low standard but full decorations.