Strabag kichefuchefu

Strabag kichefuchefu

degepori

Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
8
Reaction score
1
hivi serikali mnalichukuliaje hili suala la ujenzi wa barabara wa hawa strabag..yani imekua kuchoshana na foleni zisizo za msingi wao kutwa kubomoa hatuoni wakijenga. eti mwenge mpaka kinondoni inakuchukua masaa matatu... sio fresh aisee swaum kali
 
Back
Top Bottom