Story za vijiweni zimenishinda

Story za vijiweni zimenishinda

Gulio Blog

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,056
Reaction score
4,124
Kwangu me sionagi kama kuna umuhimu wowote kama utapiga mwanamke mwisho wa siku uende kijiweni ukasimulia

Ila washkaji wanapenda sana hizo story nikipata muda huwa nawatembelea lakini story zao ni hizo hizo imefika mahali imebidi niwatenge tu

Mambo mengine yakizamani story za vijiweni na nimekuja kugundua wengi wanaopenda sana ni wale wasio nashughuli maalum kwa mtu ambaye unapata siku za jmos na jpili kuwa na mpenzi

Ni nadra sana kukuta akipiga, story hizo
Kama umeanzisha ya kufanikiwa kimaisha huwa wananyongea sana hawachangii ila za madem tu utaendanao sana
 
Sio lazima iwe vijiweni hata kazini huwa watu wanaadisiana kuhusu demu flan
 
Back
Top Bottom