Unakunywa nyagi?Nakumbuka kipindi niko primary std 5 au 6, kuna ndugu yetu alikuja home.... alikua mtu wa vyombo sana so ikanunuliwa konyagi kwa ajili yake maana hakuna mwingine alikua anatumia hyo kitu pale nyumbani.
Hyo siku baada ya kunywa kiasi nikatumwa kwenda kuitunza, sasa nmefika nlipotakiwa kuiweka nikaiangalia then nikawa natamani kujua ina ladha gani, akili ya utoto ikaniambia onja😂 basi nikamimina kwenye kifuniko chake then nikabugia daah sitasahau hyo siku niliunguaaaa kuanzia kwenye koo had ilipofikia tumboni nikawa naiskilizia.
Nlitamani kulia kuomba msaada ila nlijua kitu ambacho kingenipata so nikajikaza nkaenda kujipooza na maji kuzima moto tumboni.
Since then nkawa muoga kudokoa vitu nisivyovijua.
Hapana situmii konyagiUnakunywa nyagi?
Unaenda kula barafu na mabumunda[emoji1][emoji1]Mimi chakula sikuwa nadokoa maana nimekua peke yangu na chakula kilikuwepo wakati wote. Ila bwana nilikuwa nadokoa hela...wahenga wenzangu mtakuwa mnakumbuka yale magome ya sh 5, 10 na 20. Nilikuwa naiba naenda nazo shule
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1]ulikuwa unapenda nyanya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiii
Nimecheka maana imenibidi nivute picha vile umetoa macho..[emoji1787][emoji1787]
Mimi nilikuwa mdokozi wa nyanya..nikikuta nyany hata Kama zimekatwa nasomba..siku Moja nikategeshewa pilipili...nilikoma
Ndiyo
Hebu nuelekeze unavojichomekaga na mimi nijueInabidi tukuchunguze kwa umakini huuenda nakweny naniii ulikuwa unajichomeka vidole nyuma yako maana tabia yako chafuchafu
Robo kilo ya nyama ni ndogo sana.Udokozi hauishii jikoni tu, ila na we robo kilo nyama unakulaje.... maisha haya..!!
Haha ilikuwa kijijini mabarafu hayakuwepo. Nilikuwa nakula maandazi na vidude fulani vinaitwa vibama... Saint Anne bila shaka unavijua
Pesa nilikua naziogopa maana ukigundulika hicho kipigo chake ni cha mbwa koko [emoji23]Mimi chakula sikuwa nadokoa maana nimekua peke yangu na chakula kilikuwepo wakati wote. Ila bwana nilikuwa nadokoa hela...wahenga wenzangu mtakuwa mnakumbuka yale magome ya sh 5, 10 na 20. Nilikuwa naiba naenda nazo shule
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna siku nilikula stick hizo si mchezo. Tatizo lingine ilikuwa hata baadae baada ya kuacha nilipokea adhabu nyingi za wizi ambao hata sijafanya kwa sababu ya hiyo historia yangu mbayaPesa nilikua naziogopa maana ukigundulika hicho kipigo chake ni cha mbwa koko [emoji23]
Sent From Galaxy S20 Ultra
Pole sana. Njoo tunywe konyagi kujifuta machozi.Nakumbuka kipindi niko primary std 5 au 6, kuna ndugu yetu alikuja home.... alikua mtu wa vyombo sana so ikanunuliwa konyagi kwa ajili yake maana hakuna mwingine alikua anatumia hyo kitu pale nyumbani.
Hyo siku baada ya kunywa kiasi nikatumwa kwenda kuitunza, sasa nmefika nlipotakiwa kuiweka nikaiangalia then nikawa natamani kujua ina ladha gani, akili ya utoto ikaniambia onja😂 basi nikamimina kwenye kifuniko chake then nikabugia daah sitasahau hyo siku niliunguaaaa kuanzia kwenye koo had ilipofikia tumboni nikawa naiskilizia.
Nlitamani kulia kuomba msaada ila nlijua kitu ambacho kingenipata so nikajikaza nkaenda kujipooza na maji kuzima moto tumboni.
Since then nkawa muoga kudokoa vitu nisivyovijua.
Jins ilivyonitenda basi hata hamu nayo ipo tena!! Me soda tu na juice saiv😝Pole sana. Njoo tunywe konyagi kujifuta machozi.
Sio mzee Asprin kweli huyo mgeni wenu au alikiwa Kaizer ?Nakumbuka kipindi niko primary std 5 au 6, kuna ndugu yetu alikuja home.... alikua mtu wa vyombo sana so ikanunuliwa konyagi kwa ajili yake maana hakuna mwingine alikua anatumia hyo kitu pale nyumbani.
Hyo siku baada ya kunywa kiasi nikatumwa kwenda kuitunza, sasa nmefika nlipotakiwa kuiweka nikaiangalia then nikawa natamani kujua ina ladha gani, akili ya utoto ikaniambia onja[emoji23] basi nikamimina kwenye kifuniko chake then nikabugia daah sitasahau hyo siku niliunguaaaa kuanzia kwenye koo had ilipofikia tumboni nikawa naiskilizia.
Nlitamani kulia kuomba msaada ila nlijua kitu ambacho kingenipata so nikajikaza nkaenda kujipooza na maji kuzima moto tumboni.
Since then nkawa muoga kudokoa vitu nisivyovijua.
Najaribu kuvuta memory hapa alikua nani
Atakuwa mmoja wao wala usiende mbali.Najaribu kuvuta memory hapa alikua nani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole sanaNakumbuka kipindi niko primary std 5 au 6, kuna ndugu yetu alikuja home.... alikua mtu wa vyombo sana so ikanunuliwa konyagi kwa ajili yake maana hakuna mwingine alikua anatumia hyo kitu pale nyumbani.