unknown animal
JF-Expert Member
- Jul 18, 2012
- 337
- 51
Guys it may not mean that all women and men are like that (Ni kweli kuna wanaume hawapendi mpira wala hawachagui gari) but it is a generalization that will give you somewhere to begin.
kuna utofauti wa aina za stori ambazo wanaume wanazipenda na zingine ambazo wanawake wanazipenda.
Kwa mfano dada @sakapal, I'm your husband, tuko garini - unanipigia story zako na wadada wenzio wa kazini,umemaliza unaanza kilichojiri harusini kwa fulani, kisha fulani na mumewe then mara dada huyu kaachana na mpenziwe.
Kwa kweli I wont stand hearing you talking all the way!
na ukianza story za kitchen party I will kick you out of the car!
Kwanza, hakuainisha kuwa hii ni general view. Pia hata hizo general views zinakuwa na specifications; wanawake na wanaume wa aina gani au wa wapi, kwa mfano.
Hizi generalization zinaweza kumfanya mtu kukosa kujiamini na kujithamini alivyo kwa sababu tu ameambiwa yeye si sawa na wanawake au wanaume wengine.
Mwanamme anayejua maongezi anamjibu vizuri mkewe na kuyaongoza hayo maongezi kuelekea kule anakofikiri kunafaa zaidi.
Sasa wewe unaona mkeo anaendekeza gossip, badala ya kuonyesha hufagilii na kuongea habari hizo hizo kwa kina zaidi, unamuacha mamaa anakuwa kama anafanya jitihada za kuwa social wakati wewe ume mute.
Unakosa mvuto.
Unaweza kupinduliwa kwa kitu kidogo tu, katokea kijana mtanashati hana lolote zaidi ya maongezi mazuri, anakufanya mbaya.
Halafu utalalamika wanawake wa siku hizi wasaliti.
Kumbe usaliti umeanza mwenyewe kwa emotional neglect iliyo borderline torture.
Mara nyingine mtu anaweza kuanza kuongelea weather sio kwa maana ya kwamba anataka kuongelea weather, anataka ku crack the ice tu kwa nyepesi nyepesi, sasa kama mwanamme kichwa you take that and run, you build up the convo.
Sasa wewe mtu kaanza na weather tu unasema huyu naye kashaanza story zake za ajabu ajabu.
Utaonyesha humpendi, anakuboa. Mtu kama unampenda kweli hata akikoroma utaona kama muziki.
Na akileta story nyepesi nyepesi unazipeleka kunako, si kumchunia.
Trust me, sikukurupuka kwenye kuoa mke na sijaweza kumuheshimu na kumtunza kiasi cha kuja kupinduliwa kirahisi kama unavyodhani.
Na wala mke wangu hayuko hivyo
Naona unadandia treni kwa mbele.Na hayo mambo ya gender yamekukaa sana kichwani.Mimi sijatamka kuwa mwanamke ndio wa kubadilika pekee.Nilimlenga aliyeleta mada.Na isitoshe suala la kubadilika ili usimkwaze mwenzio ni la pande zote.Hata wewe Kiranga kama unavitabia vya kulazimisha mkeo awe kama utakavyo badilika.Wanawake wote wakiwa hivi mfumodume hauishi kamwe.
Mwanamke ni lazima abadilike kumfuata mwanamme, hata kama mwanmme ni an antisocial jerk.
Kwenye jukwaa ambalo hatujui wasifu wa wachangiaji (kuanzia umri, na afya ya akili), ni muhimu kuanisha kila kiwezekanacho ili kutotoa fursa ya kutoeleweka. Unaporuhusu watu wa figure out for themselves ndipo unaporuhusu watu kuondoka nadhana ambazo sizo ulizokusudia. Hakuna sababu hiyo wakati uwezo wa kuanisha upo.a) Siyo kila kitu ni lazima kiainishwe, you have to figure out some things on your own(Like, that being a generalization is an obvious fact since you can define human behaviors in few lines)
b) Generalization kuwa na grouped specifications depends on the level of simplicity that the guy decided to use
c) Honestly naongea toka kwenye experience, wadada wengi stori zao ni about other people (Naomba u note nimesema wengi na siyo wote, asante). Which to many men is so boring!
d) Of course you are not equal to anyone, haven't you heard that everyone is unique?
a) Siyo kila kitu ni lazima kiainishwe, you have to figure out some things on your own(Like, that being a generalization is an obvious fact since you can't define human behaviors in few lines)
b) Generalization kuwa na grouped specifications depends on the level of simplicity that the guy decided to use
c) Honestly naongea toka kwenye experience, wadada wengi stori zao ni about other people (Naomba u note nimesema wengi na siyo wote, asante). Which to many men is so boring!
d) Of course you are not equal to anyone, haven't you heard that everyone is unique?
Wanawake wote wakiwa hivi mfumodume hauishi kamwe.
Mwanamke ni lazima abadilike kumfuata mwanamme, hata kama mwanmme ni an antisocial jerk.
Naona unadandia treni kwa mbele.Na hayo mambo ya gender yamekukaa sana kichwani.Mimi sijatamka kuwa mwanamke ndio wa kubadilika pekee.Nilimlenga aliyeleta mada.Na isitoshe suala la kubadilika ili usimkwaze mwenzio ni la pande zote.Hata wewe Kiranga kama unavitabia vya kulazimisha mkeo awe kama utakavyo badilika.
Halafu tusipende kuhukumu kuwa kila anayeishi kama alivyo kuwa ni antisocial.Tuheshimu interest za mtu.
Antsocial! mtu hafungi mdomo from the word go?! Kuna muda mtu unapenda kuzungumza na kuna muda unahitaji kukaa kimya na mawazo yako, sasa ukiwa na mtu ambaye hafungi mdomo ni kero kupitiliza-moja ya sifa za mke/mume mwema ni kujua wakati gani mwenzangu anahitaji mazungumzo na ni wakati gani inabidi nifunge domo langu. Ukiweza kujua timing hiyo basi maisha yatakuwa murwa la timing hiyo ukiikosea ndoa/mahusiano utayaona mni kero tupu!!
Antsocial! mtu hafungi mdomo from the word go?! Kuna muda mtu unapenda kuzungumza na kuna muda unahitaji kukaa kimya na mawazo yako, sasa ukiwa na mtu ambaye hafungi mdomo ni kero kupitiliza-moja ya sifa za mke/mume mwema ni kujua wakati gani mwenzangu anahitaji mazungumzo na ni wakati gani inabidi nifunge domo langu. Ukiweza kujua timing hiyo basi maisha yatakuwa murwa la timing hiyo ukiikosea ndoa/mahusiano utayaona mni kero tupu!!
Siwezi kudandia treni kwa mbele wakati ufunguo ninao mwenyewe. Angalia usiweweseke kwa njozi.
Umelenga mwanamke abadilike kumfuata mwanamme subserviently, hata bila kuangalia mambo yaliyoletwa.
Halafu, kutosema pekee hakukutoi kwenye ukweli kwamba umesema mwanamke abadilike bila ya kuangalia upande wa mwanamme.
Mimi naelewa kuheshimu interests za mtu ndo maana nikasema tuchunguzane compatibility. Maana kuwa na mahusiano na mtu ambaye hamna common ground kunaweza kuwa ni kutoheshimu interests za mtu, so you are not introducing this point.
Mie sitaki kumbadilisha mke wangu awe kama mimi, sina hata pa kuanzia kufanya hivyo kwa sababu sijaoa. Na nikioa swagga langu tu, mwenyewe atataka kuwa kama mimi, wala sina haja ya kumlazimisha. Kwa maana mpaka kuoa maana yake kuna compatibility ya kutosha.
Huwezi kumtegemea mtu ajue wakati hujamjuulisha.
Mweleze kwa maneno mazuri au tafuta njia nyengine njema aweze kusoma moods zako.
Kumtaka mtu aweze kusoma mawazo yako kana kwamba ana uwezo wa ghibu ni kujidanganya tu au dalili za kumchoka
Sikuongelei wewe, naongelea a scenario.
Hii case iliyoletwa hapa ni emotional neglect.
Huyu mama anaweza kuwekwa katika majaribu kirahisi sana kama akitokea mtu mwingine akaonyesha kumjali na kumsikiliza.
Tusiwaweke wenzetu katika majaribu kirahisi hivi. Inafaa kusomana tangu mwanzo kabisa na kama mtu hamko compatible, hampotezeani muda kabisa.
Mpaka kufikia hapo utajionyesha hukufanya homework yako mapema.
We hupendi mtu anayeongea, imekuwaje ukaruhusu kuwa naye huyu?
Hukuona hilo mwanzo?
Ndio maana ndoa/mahusiano yanatakiwa kwa watu walio-matured sio kuparamiwa na watoto, hii ikiwa ina maana kwamba unaweza kusoma mood za mwenzio bila yeye kukueleza, ukisubiri akueleza ni rahisi kuhisi visivyokuwepo. Wasio na uwezo wa kuyasoma hayo mara nyingi huishia kuumia roho wakidhani hawapendwi/hawajaliwi