Story yenye mafunzo

hahahahaha huu sasa mtego mtafanana kote lakini makao makuu lazima kuwe tofauti

Kwa tulivofanana...yaani kila kitu...kwaio naweza kuongoza nchi kama yeye amesafiri kama saivi...
 
hahahahaha huu sasa mtego mtafanana kote lakini makao makuu lazima kuwe tofauti

Kwa tulivofanana...yaani kila kitu...kwaio naweza kuongoza nchi kama yeye amesafiri kama saivi...

mhhhhhhh huwezi kuongoza nnchi maan wananchi wa Excel wanapenda purukushani na we ulivyo muoga?????????

miss neddy mimi muoga kweli? Unajua simba mwenda pole anafanyaje?

ayaaaa!!! naongeza miss chagga ndani ya mjengo!!!

naongeza na Lilac kabisa muwe wake wengi!

naongeza na 64Bits kulaleki..

naongeza na mahondaw kudadeki!!
KING Excel ana haki ya kikatiba ya kuwa na wake weeeengi kuliko wanaume wote JF!!
 
Last edited by a moderator:
Hii post nilikutana nayo facebook, iliandikwa kwa kiingereza, its nice.. Lakini nimeanza kuona kwamba baadhi ya watu waliosoma accounts, finance, economics na fani zingine za fedha wanatamani wakutane na the same incident ili waibe, lakini hakuna walichojifunza kwenye story hiyo.
 
ni kweli elimu ni bora kuliko dhahabu..kumbe ambao hatupo fb tunakosa mengii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…