Story ya swahiba

Ninapiga picha hali ya mapigo ya moyo ya Travis kusikia sauti za watoto wake wanapanda ngazi, badala ya kufurahia kuwaona unaomba ardhi ipasuke. Inaelekea Veronica alikuwa hajaguswa muda mrefu, it was the wrong time at the wrong place.
Inawezekana alikuwa anamlia timing toka siku ya kwanza akaweka mtego wa kutokuchukuliwa jamaa akanasa
 
hapo lazima hali ilikuwa tete kwa wote watatu waliona wasichokitegemea
Kama kichwa cha juu cha Travis kitakuwa re-connected haraka anaweza kuwaza anachopenda mke wake, let say, do babe, zile Asia amenipigia simu mzigo mpya wa handbags umeingia, anataka uwe wa kwanza kuchagua, hembu tu wahi. Huku nyuma anamwambia Veronica aondoke haraka.
 
Kwanini mtu una msaliti mkeo kama kweli unampenda na ikigundulika unamuomba msamaha?
 
Sky Eclat uzinzi ni mtamu lakini gharama yake ni kubwa sana, ona uzinzi unavyoenda ku spoil amani, furaha, Upendo na raha za familia. Shetani ana akili sana mweee, mbona anatuweza?
Ngoswe aliharibu nyaraka za sensa Kisa, mbunye ya Mazoea Ngengemkeni Mitomingi
 
Travis amekosa adabu kumpeleka Veronica nyumbani anakoishi na mke wake.
 
Travis amekosa adabu kumpeleka Veronica nyumbani anakoishi na mke wake.
Sio yeye, unajua shetani hakai kwenye ubongo, wala kwenye moyo, shetani wa ngono anakaa kwenye genitals ...... akichachamaa tu, maamuzi yote hufanywa na hivyo viungo vya kuletea watoto duniani
 
Kwana cha kujiuliza kwanini hataki kuweka house girl nyumbani?

nina rafiki yangu wa kike toka ameolewa hajaweka h/girl huwa na hao h/b tu ukimwuliza anakwambia h/boy wanafanya shughuli zote za ndani na nje lakini yawezekana anapunguza vishawishi ndani
 
Bora umejitahidi kumalizia
 
nina rafiki yangu wa kike toka ameolewa hajaweka h/girl huwa na hao h/b tu ukimwuliza anakwambia h/boy wanafanya shughuli zote za ndani na nje lakini yawezekana anapunguza vishawishi ndani
Anajua vuzuri viatu alivyovaa vinamuumiza vipi na amebuni style ya kuvitembelea.
 
Umetupiga Puu
 
Anajua vuzuri viatu alivyovaa vinamuumiza vipi na amebuni style ya kuvitembelea.

lakini huyo jamaa kiazi kweli unafanyaje upuuzi home.....muulize imekuwaje baada ya kufumaniwa live au ndoa ishaparanganyika
 
lakini huyo jamaa kiazi kweli unafanyaje upuuzi home.....muulize imekuwaje baada ya kufumaniwa live au ndoa ishaparanganyika
Mengine ni siri ya ndani, unamwekea mkwara na unamuonyesha kuwa hujapenda alichofanya. Aunt mmoja aliniambia kama kila kosa litakufanya uondoke kwenu mwisho wa siku wewe na mumeo mmesahau yaliyotokea, waliokuja kwenye kikao cha usuluhishi bado wanahadithiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…