Story ya mpenzi wangu wa kwanza

The Garang

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
2,333
4,152
Assalamu alaikum,

Mapenzi majani huota popote.

Imepita takribani Miaka zaidi ya 10 na kidogo tangu nilipokutana na msichana wangu wa kwanza, mdada aliyenifanya niinjoi maisha ya sekondari, mdada aliyenifanya niuze jina kwa mashikaji Hadi na walimu pia,mdada aliyenipa chachu ya kupambana katika masomo yangu.

"... Leo tunachagua viongozi wa darasa wa muda Hadi mtakapokaa ki mikondo, Nani mnapendekeza awe montress, anasimama dada mmoja na kupendekeza jina la mdada mmoja aliekuwa amekaa pembeni yake..."
Ilikuwa ni kauli iliyotoka Kwa kiranja mojawapo ikitutaka tupendekeze majina ya viongozi wa muda wa darasa.

Mdada anasimama ni mweupe, baby face na aibu kwa sana.

Kwa mara ya kwanza moyo ulipatwa na kitu kisicho chakawaida nilivomuangaliaa yule mtoto mapigo ya moyo yalinienda kasi.

Basi, wakapendekeza majina, worse or good enough hakuchaguliwa. Basi ikawa ni furaha yangu ni kawa natafuta kila namna ya kujiweka karibu yake niweze hata kuongea naye, kumuona class ilikuwa ndo Furaha yangu. Nlikuwa nakaa nyuma ya darasa ili niweze kumuona vizuri akiwa mbele, kuna wakati asipokuja shule nlikuwa naulizaa kwa namna ambayo anayeulizwa hatohisi lolote juu yangu. Akifanya kosa nlikuwa naumia kuona mtoto akipigwa nlikuwa natamani nipigwe kwa ajili yake binti wa watu asichapwe.

Mikondo imegawanywa bahati nzuri tukapangwa mkondo mmoja, maisha yakaendelea ye ndo alikuwa furaha yangu kwa muda wote Hadi namaliza shule.

Kipindi hicho Sijaitongoza mdada nasijui naanzia wapi kumuambiaa, basi siku zinaenda kuna jamaa yangu akaja shtukia kuwa namuelewa mtoto. Jamaa alijuaje??? Kipindi tuko teen tulikuwa tunaandika jina lako pamoja na la yule unayempenda halafu tunakokotoa asilimia ngapi zinapatikana.

Basi nikakokotowa pale na kupata asilimia zangu za kutoshaa , nshasahau ni ngapi ila zililikuwa za kunishawishi nifanye next move. Nikamaliza kokotowa nakuchana kikaratasi nikatupa chini.

Eeeewh bwanaa eeewh kuna jamaa yangu cjui alikuwa anatafuta nn akaona vile vikaratasi na akaunganishaa , hapo ndo akaliona jina la yule Binti ninaye mkubari.
Utoto mwingi taarifa zikasambaa kwa mashikaji,kuna siku Niko mapumziko ,hiyo Binti anaongeleshwa na wakaka wengine nikaja itwa, The Garang demu wako anaongeleshwa kule dirishani ,basi mie naenda karoho kanauma Sina la kufanya kisu butu.

Siku zimeenda mdada hajui kama nampenda, basi kuna jamaa yangu mmoja mkorofi akaenda kuniitia na kumpa maneno ya awali kuwa mdau The Garany namkubali, mtoto akawa Hana la kufanya. Basi siku nimekaa na wadau nikaitiwa mtoto huyu hapa ongea naye Domo zito hata cjui ilikuwajeee basi dogo akaondoka lakin akawa ashajua mdau namkubali.

Kuna siku nikajilipua nikaitiwa mtoto nikaenda kumpanga bint anagoma natamani Hadi niliee, basi nikaachana nae.

Mda umepita kidogo huku nikiwa nafanya attempts kadhaa, MWISHOWE Binti kamuagiza rafiki yake aje kunambia amekubali lakini iwe Siri, ukisikia Furaha ndo hapa sasa

Soma nikiwaa naandika sehemu inayofata
 
Muendelezo

Nlifurahi sana kuona nimekubaliwa kwa mara ya kwanza nimefanya attempt na imekubali.

Basi tulizidi kupendana na yule Binti japo alisema mapenzi yetu yawe ya Siri mwishowe yakaja kuwa maarufu na open hadi kwa walimu.

Kwanza kabisa, wote tulikuwa wastaarabu, ikumbukwe nimekulia kwenye familia inayofata sana misingi ya dini and had strictly parents so the same to her.
Pili, .mtoto alikuwa mng'ao kiasi kwamba kuna Mwalimu alikuwa akimtaka lakini dogo alimchomolea, vilevile baadhi ya wakaka wa madarasa ya juu walikuwa wakimtokea lakini aliwagomea, hao wakaka kuja kutafuta Ninan anayefanya dogo akataee wakamkuta Mzee baba Instructor mwenyewe Niko palee.

Maisha yameenda huko mtaani kuna mkaka alikuwa anamtaka, dogo kama kawaida akamchomoleaa. Ikabidi mie nianze sakwa sasa na kuwekewa vikwazo vya kutoonekana mitaa ya huyo jamaa aliyechomolewa anakoka. Nikawa mpolee nikawa naenda kwa machale hiyoo mitaaa na uzuri hakuwa akinijua so nikawa safe, mwishowe jamaa akagive up.

Huyu Binti alikuwa ni inspiration yangu kubwa katika masomo, Kuna kipindi misako ya wachumba ilikuwa inatafutwa namie nlikuwemo ila sababu ya kuwa vyema class ikapigwa chini.

Soma wakati namalizia sehemu ya mwisho yenye uchungu ndani yake.
 
duh.....
 
Sehemu ya mwisho

Mapenzi yetu yaliendeleaa kupamba moto na kuwa Moja ya couple ya kistaarabu sana pale shule.

Tumemaliza paper la kidato Cha nne, tukaachana ,mie nikaenda huku naye kula

Aliyesema fimbo ya mbali haiui nyoka alikuwa sahihi, mawasiliano yetu yakaanza pungua siku Hadi siku mwishowe yakawa kama yamekufa vile.

Matokeo yametoka mie nikaingia advance naye akaenda chuo, ikawa ni mara Moja Moja tunawasiliana nikiwa likizo. Wakati Niko likizo kuna maneno yalivuma kuwa mie namtuhumu yeye kutokuwa muaminifu kuwa anamtu mwingine kitu kisicho Cha kweli baasi yeye akawa ananilaumu Kwann nayasikiliza maneno ya watu na upuuuz mwingine.

UTATA UNAANZA, wakati Yuko chuo inaonekana kuna jamaaa alikuwa anafatilia pale na kama kuhudumia kabisaa, nlikuwa nikienda fb kwenye comment section kuna lijamaa lilikuwa Lina comment za shobo shobo sana, nikaanza udadisiii nikajagundua nikama watu wenye ukaribu sana.
Basi nikamuomba urafiki yule jamaa I don't remember exactly ilikuwajeee ,nikaw nafanya close monitoring kwa yulee jamaaa.

Ikumbukwe huko nyuma Binti alishawahi bananishwa kama anamchumba mie nikatajwaa, daaaah aiseee , classmates almost wote wakajua mie pale naoa na wengi sana walipenda iwe hivyoo kwakuwa wote tuliendana na hatukuwa na tabia mbaya mitaani.

Binti alikuwa ameanza kunitoka moyoni na mie nlikuwa nishaanza kumtoa moyoni ukizingatia nishafika fika kwenye vimiji vya watu na kuona wadada wengine lakini ni huyu Binti pekee ambaye huwa hanitoki akilini mwangu, ikitokea nimemuona tuu moyo wangu unajawa na mhaho mapigo ya moyo yanaenda mbio the same to her Hadi kuna kipingi huwa hawi comfortable kabisa kuongeaa.

Likizo nlikuwa naenda kwao tunaongea Sana sana, na baadhi ya ndugu zake walikuwa wananijuaa.

Sasa turudi chuoni, miaka ikaenda akamaliza chuo akarudi mtaaani, kuna likizo Moja nlienda kumtembelea NIKAMUULIZA mbona sikuon fb akanijibu alisahau password za simu yake basi nikasema lete nikisaidie kureset, akanipa nikamuwekea upya na password ilikuwa ni namba SITA za mwisho za namba yake ya voda for easy remembering, mkulungwa nikawa nishajua username na password, nikawa na log in mda wowote nikitaka aiseeee yule dogoo alikuwa anafuatiliwa na watu wengi sana nao wajuaa ,So mie nlikuwa nikusoma tuu chats zao nakaa Kam sijui kitu vile.

Kuna huyo jamaaa mmoja yeye ndo alikuwa akichat nae sana, nikawa naona jamaa anavohangaika kumchatisha Binti ila Binti inaonekana alikuwa hamkubali jamaaa, màaana zile reply utajuaa tu jamaa anaforce mambo.
Basi wakawa wanapanga namna ya kuja kuyoa mahalo cjui na posa lakin nikichek Reply za binti hazioneshi kuwa kama anafurahia life lijalo mbele yake.
Ikumbukwe hapo mie nlikuwa na access akaunti yake bila ye kujua, NA NIKAJA GUNDUA chatting zangu alikuwa anaZIFUTA SIJUI KWANINI.

Kipindi hicho chote hajui mie najuaa kila kitu A2Z na tukionana mie simuulizi kitu chochotee, basi rumours mtaaani zikaanza vuma The Garamg mchumba wako anaolewa mara hivi mara vilee, we mzembe sana mara mtoto alikuwa anakukubali Kama unavojua maselaa.mtaaaan indeed Binti alikuwa ananielewa sana zaidi ya sana.

Basi binti kalipiwa mahari na process za ndoa kufanyika na mambo yalienda fresh, hakunipa mwaliko akisema aliogopa ningeumia lakini mjuba nlishajua tangia muda na nlijiandaa kwa hiyo situation.
Baada ya Binti kuolewa na huyo jamaa, marafiki zake mabest wa kike ambao walijua mie ndo nitamuoa wakaanza kummaindi kwa ambacho amefanya nakuna muda hao marafki zake ndowalikuwa wakinitonya juu ya mambo anayofanya yule Binti.

Miaka kadhaa nyuma wakati tuko night walk ashawahi nambia hawezi kuolewa na jamaa wa pale mtaani au maeneo karibu na palee, kumbuka kuwa hapo tulikuwa hatupo kwenye good terms, lakini akaja kuolewa na mtu wa eneo Hilo Hilo huyo ambaye aliniwahi.

KWANINI ALIOLEWA NA HUYO JAMAA, ye nlivomuuliza alisema sababu mie Niko shuleeee hivyo asingeweza vumiliaa Hadi mie nimalize masomo LAKINI za chini ya kapeti nikuwa wakati Yuko chuo huyu mmewe wa sasa alikuwa anahudumia(somesha mchumba) hivyo Binti akawa Hana namna zaidi ya kukubali kuolewa nae. Binti na jamaa wamepishana miaka mingi sana kama 13 hivi and her husband is approaching 40 very very soon.

Aiseee haka kadada japo kameolewa lakini nikikaonaga machozi huwa yananilenga, kuna siku nlikaomba mzigo kakaniletea habari za kubemenda mtoto ila nkaona nisimkazie sana asije kubali nikala mke halali wa mtu. aiseee , she was/is very beautiful girl, the girl that touched my heart in a different way, the love at first sight.

I still love you X but we were not destined to be together wish u all the best

Imeisha jamani huwa siongei nae zaidi ya kuona akipost mmewe kwa status na kuonesha kuwa anafurahia ndoa ingali najuaa sio hivyooo
 
pole inabid umtafute umle tu hakuna namna
 
Ingali unajua sio ivo. kivip? Unadhani bado anakupenda kama zamani ,, sahau broo
 
Acha assumptions kuwa hafurahii ndoa.Hakukupenda ndio maana hakuwa tayari kulinda penzi lenu.Anafuahia hukobaliko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom