Story ya mahusiano na pia naomba ushauri

Hapo umeshasema ulikuwa unamdanganya, yeye nae kaamua kukudanganya unaanza kulialia. Wew si uko kwa mjomba! Na yeye muache akulelee mtoto.

Pesa bandia, chain bandia.

Ushauri. Kama una msaidia, msaidie Kama rafiki yako tu, kuhusu mtoto Kama ni wako atakuja tu mwenyewe. Usifuatilie mtoto ambaye tayari ameshakabidhiwa kwa baba yake. So far mama ndo anajua mtoto ni wa nani! Wew endelea na mishe zako Mdogo Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom