Beeb JF-Expert Member Aug 18, 2018 29,402 58,951 Dec 28, 2019 #2 Hapo kwenye sad news: poleni sana Sent using Jamii Forums mobile app
IGWE JF-Expert Member Feb 3, 2011 9,463 7,387 Dec 28, 2019 #3 ...story iko wapi ? Sent using Jamii Forums mobile app
Tate Mkuu JF-Expert Member Jan 24, 2019 28,394 81,879 Dec 28, 2019 #4 ze farmer said: .. Click to expand... Mtoa mada kuna majani yaliyopigwa marufuku unayatumia kama mboga? Mbona nime kuquote, lakini bado sioni chochote!
ze farmer said: .. Click to expand... Mtoa mada kuna majani yaliyopigwa marufuku unayatumia kama mboga? Mbona nime kuquote, lakini bado sioni chochote!
ze farmer JF-Expert Member Jul 31, 2016 921 1,800 Dec 28, 2019 Thread starter #5 Tate Mkuu said: Mtoa mada kuna majani yaliyopigwa marufuku unayatumia kama mboga? Mbona nime kuquote, lakini bado sioni chochote! Click to expand... Inakujieni boss, inawekwa vina. Sent using Jamii Forums mobile app
Tate Mkuu said: Mtoa mada kuna majani yaliyopigwa marufuku unayatumia kama mboga? Mbona nime kuquote, lakini bado sioni chochote! Click to expand... Inakujieni boss, inawekwa vina. Sent using Jamii Forums mobile app
Chuku chuku JF-Expert Member Mar 11, 2015 873 1,345 Dec 28, 2019 #6 ze farmer said: .. Click to expand... Sasa mimi sijaelewa kwa nini huyo mzee aliamua kuhama kijijini wakati wapinzani wake alishawamaliza tayari? Kuna kitu nimejifunza hapa.
ze farmer said: .. Click to expand... Sasa mimi sijaelewa kwa nini huyo mzee aliamua kuhama kijijini wakati wapinzani wake alishawamaliza tayari? Kuna kitu nimejifunza hapa.
Mrs Bishanga JF-Expert Member Jun 30, 2013 1,002 2,272 Dec 28, 2019 #7 Chuku chuku said: Sasa mimi sijaelewa kwa nini huyo mzee aliamua kuhama kijijini wakati wapinzani wake alishawamaliza tayari? Kuna kitu nimejifunza hapa. Click to expand... Kweli Leo nimekutana na uchawi live. Hyo story ya huyo mzee alohama kijiji iko wapi?
Chuku chuku said: Sasa mimi sijaelewa kwa nini huyo mzee aliamua kuhama kijijini wakati wapinzani wake alishawamaliza tayari? Kuna kitu nimejifunza hapa. Click to expand... Kweli Leo nimekutana na uchawi live. Hyo story ya huyo mzee alohama kijiji iko wapi?
ze farmer JF-Expert Member Jul 31, 2016 921 1,800 Dec 28, 2019 Thread starter #8 Chuku chuku said: Sasa mimi sijaelewa kwa nini huyo mzee aliamua kuhama kijijini wakati wapinzani wake alishawamaliza tayari? Kuna kitu nimejifunza hapa. Click to expand... Siumeona vijana waliungana kumpindua mzee, ni kuwa hata uchawi una limit watu wakiungana against you. Sent using Jamii Forums mobile app
Chuku chuku said: Sasa mimi sijaelewa kwa nini huyo mzee aliamua kuhama kijijini wakati wapinzani wake alishawamaliza tayari? Kuna kitu nimejifunza hapa. Click to expand... Siumeona vijana waliungana kumpindua mzee, ni kuwa hata uchawi una limit watu wakiungana against you. Sent using Jamii Forums mobile app
ze farmer JF-Expert Member Jul 31, 2016 921 1,800 Dec 28, 2019 Thread starter #9 Mrs Bishanga said: Kweli Leo nimekutana na uchawi live. Hyo story ya huyo mzee alohama kijiji iko wapi? Click to expand... Nitaipost tena, kuna mtu anaiongeza utamu na kuihalili mana ndiye anafahamu haya matukio kwa wingi. Sent using Jamii Forums mobile app
Mrs Bishanga said: Kweli Leo nimekutana na uchawi live. Hyo story ya huyo mzee alohama kijiji iko wapi? Click to expand... Nitaipost tena, kuna mtu anaiongeza utamu na kuihalili mana ndiye anafahamu haya matukio kwa wingi. Sent using Jamii Forums mobile app
Levels baby JF-Expert Member Sep 26, 2019 831 768 Dec 28, 2019 #10 Mrs Bishanga said: Kweli Leo nimekutana na uchawi live. Hyo story ya huyo mzee alohama kijiji iko wapi? Click to expand... Bwana chukuchuku kacheza na akili ya mleta maada Sent using Jamii Forums mobile app
Mrs Bishanga said: Kweli Leo nimekutana na uchawi live. Hyo story ya huyo mzee alohama kijiji iko wapi? Click to expand... Bwana chukuchuku kacheza na akili ya mleta maada Sent using Jamii Forums mobile app