Ndio kumpiga chini kwenyewe huko ...kwamba anamuondoa katika nafasi ya umhimu kisha anamgeuza kuwa demu wa kuzugiaMkuu jamaa Wala asimpige chini Ila abadilishe mode tuu yan asimchukulie km mpenzi ,amchukulie km demu wa kupiga tuu, Yan haiwezekani, apoteze Muda,Somo na faida kwa wakati mmoja hiyo ni hasara kubwa Sana kwake
Baki huko hukontarudi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nakubaliNdio kumpiga chini kwenyewe huko ...kwamba anamuondoa katika nafasi ya umhimu kisha anamgeuza kuwa demu wa kuzugia
Hapo ndipo ataelewa kuelewaAtajakuambia mkizaa mumuite mwanenu jina La x wake
X nae ntu jamaniNa una muda wa kumsikiza..binafsi ningemuonyeshea action moja matata..angekaa sawa asingeniletea habari za mavi mavi ya ex wake.
Asa apo inabidi upat watunwa uhakika kamaMwanzo mwanzo jamaa yangu alikuwa anajaribu kusimulia habari za ex wake alivyomtenda,,,yaani kuna siku ile kaanza tu'ex wangu...... nilimkata jicho kali sana tena la nyuzi 180 na sikuongea chochote,,hajawahi kugusiaa tena nadhani alielewa
Kwahiyo Kama ntu ndiyo aniletee upuuzi wake mieX nae ntu jamani
ndio ni mtuu ila wakati wake unakua umeisha na na dm anatakiwa amsahau... jiulize ww uko na mtu anakueleza mambo ya mtu wake itaumaje iyooMatusi ya wadau humu...daah x anatabu huyo
Ila pia x nae ntu jameni.
imekaa kizazi sanaMkuu tafuta Sana pesa na kujiimarisha kwenye angle tofauti tofauti za kimaisha ,wanawake wanabadilishwa mtazamo na kitu kidogo Sana,hapo tayari kashaanza kumtamani Ex wake kwakua ameanza kupiga hatua za kimaendeleo....,#tuishi nao kwa taadhari ....
Basi mama tuyamalize๐๐๐๐๐๐adhabu yako ninayo
Mpka unibembeleze๐ข๐ขBasi mama tuyamalize๐๐
๐คฃ๐๐ค Aisee, hebu twende tukabembelezane private puliziiMpka unibembeleze๐ข๐ข
Tutakuwa tunaongelea yz peke yake๐ค๐คMwanzo mwanzo jamaa yangu alikuwa anajaribu kusimulia habari za ex wake alivyomtenda,,,yaani kuna siku ile kaanza tu'ex wangu...... nilimkata jicho kali sana tena la nyuzi 180 na sikuongea chochote,,hajawahi kugusiaa tena nadhani alielewa
Oooops am sorry..๐๐คฃ๐๐ค Aisee, hebu twende tukabembelezane private pulizii
Pa1 mkuuimekaa kizazi sana