AkiliMingi AM
Member
- Jul 5, 2020
- 88
- 60
Kanuni ya ngapi hii katika kitabu chenuAgiza pepsi, kunywa, kula kalale
Mkuu jamaa Wala asimpige chini Ila abadilishe mode tuu yan asimchukulie km mpenzi ,amchukulie km demu wa kupiga tuu, Yan haiwezekani, apoteze Muda,Somo na faida kwa wakati mmoja hiyo ni hasara kubwa Sana kwakeMwili upo kwake lakini moyo wake upo kwa. Ex wake ... Ningelikuwa mimi ndiye wewe ningesha mpiga chini
Waweza kukuta huwa wanapasha viporo kimya kimya
😂😂😂😂adhabu yako ninayo9a kifungo cha ii