Story: Side Chic & Main Chic ~ A Forever Battle

Naona unawafunda wadada safi.saaaaaaana
 
Wikiend yangu inaenda murua kabisa kwa hadithi kutoka kwa mwandishi wangu Money penny..thanks love
 
Hahaha aisee umenikumbusha, kuna kipindi nilikua natoka na vibinti viwili, kumbe vinajuana siku kimojawapo kikaniambia njoo gesti Fulani, kufika salalee wako wawili, nashangaa shangaa mlango ukafungwa..aisee wananiambia Leo tunataka tuone ukidume wako, leo mpaka ukojoe povu ,sintasahau hiyo siku kwakweli. Salute kwako mtunzi, naisubiri hiyo 3-jumla kwa hamu.
 
Ahahahaha kupatwa kwa Nleterewa
Yeleuuuwi hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…