Story: Side Chic & Main Chic ~ A Forever Battle

Wow , what a nice story....!!
 
CHAPTER 1

2. HAKUNA MCHAGA LAFA!

Baada ya miezi 6 ya kazi za side chics, na trainings na kunolewa msasa na ticha HiHoe, na mafundisho lukuki, warembo wakawa wamizoea field yao, wakawa wamei master
Unajua shule ya mechi na world cup inakuwaga rahisi sana kuliko shule ya chuo kikuu, yani naturally inakuwa tu rahisi tu, nadhani Mungu ndivyo ametuumbia.


Kelis:
Ni Mchaga wa machame, juu mnene chini mwembamba, wanaita shape ya kabati, akawa buzy anachagua vitendea kazi mwa Cassandra Lingerie na mwenzake Irene

Eh, jamani hii bra mbona haikai, embu Irene nisaidie

Irene:
Bwana na wewe una maziwa makubwa kama tikiti maji, kakate uko kha, huku anamsaidia bra ikae vizuri, du! Sasa ndo nini namna hii bra imekubaaaanaaa iache buana chukua nyingine


Kelis: eti dada kuna bra nyingine Size kubwa kidogo

Dada: hata hamna hiyo ndio size ya mwisho iliobakia

Irene: basi chagua nyingine bwana, hio utashindwa kupumua

Kelis: ah hii hii nimeipenda nataka niivae kesho valentine kwa client wa kesho amelipa hela nyingi sitaki kum dissapoint, maziwa ni yangu, nayapeeenda, clients wanayapeeenda wewe pilipili usioila inakiwashia nini labda?! These boobs au tunaziitaga milkshake ndio zimenipa ku saini kesho mil 1 na client, yaache kabisaa nayapenda kama yalivyo


Irene: haya ma! Ekamae!

Mara Simu ikaingia:
Irene: halo
HI HOE: mama kesho ni buzy day, clients wanawasubiria mko wapi mje mpigwe darasa?!


Irene: tupo kwa Casandra lingerie hapa Kelis ananunua viwalo, namsindikiza

Hi hoe: nunua na vyako pesa mtapata baadae mkija, clients ni experts toka marekani msiniaibishe jioni mje tupange ratiba, na wewe umepata client wako

Irene: poa madam asante sana tutakuja tukitoka class kwenye saa 3 usiku basi

Keli: hi hoe huyoo sio?!

Irene: eh mamangu tutatumika mpaka papuchi zipate u celebrity, me nimechooooka hapa afu j3 kuna pepa dadeki, sijasoma afu kesho naenda kufanya kazi basi nachoka mara 2 hii shule ya IFM iishe tu kwakweli

Kelis:
Ivi boom limeingia?!


Irene: hata sijui, kwani wewe bado unaishi kwa boom?!

Kelis: nataka nitume hela kwa bimkubwa moshi, si unajua me ndo wa kwanza lazima niangalie nyumbani na mzee alishatutoka basi shida tupu, IFM yenyewe nimeipata kwa shida we acha tu nadhani babangu, rest his soul in peace ananipiganiaga sana, hata hili nalofanya sidhani kama anapenda ila ataielewa juu kwa juu, the struggle is real mehn!

Shule iishe kwakweli me nishachoka mapemaaa, natamani kuaajiriwa zangu nipate hela.
So boom sijaangalia nina miezi kama 6 nataka baada ya valentine nikawarushie salio


Irene: du pole, basi ngoja na mimi niangalie cha kuvaa, tukitoka hapa tukasome, maana me kupigwa sapu au repeat hata staki

Kelis: nikimaliza shule hii kazi kwa Hi Hoe naacha, maana nafkiria kuwa namaisha zaidi ya haya tunayoishi, nimechoka kuwa student by day na changu by night, sasa nimesoma shule ya nini labda?! Naamini nina maisha zaidi ya haya nayoishi sasa hivi

Irene: me and you both lakini kama utapata bwana anakupenda huko we nenda nae,

Lakini nasahau kukuuliza kila siku, vipi mwenzangu hela za chini ya meza unazipataga baada ya ligi?!

Kelis: mwanzo nilikuwa napata sio sana kama dola 100 sometimes laki 1 sijui Hi Hoe anawapiga hela nyingi au hata sielewi skuhizi napata elfu 50 au dola 50 au dola 20 huyu Hi hoe lazima kuna namna anafanya maana tips zimeshuka kabisaa

Irene: meona ee sasa tunafanyaje

Kelis: hapa lazima tutafute meneja mpya, turaise our bar ambayo itatusaidia kukutetea na kuongeza hela, huyu Hi Hoe hafai,

Afu nimesahau kukwambia, juzi kati nimekaa zangu namsubiria client Moven Pic, akanifuata kaka m1 ananiambia mrembo ukihitaji huduma yangu ni call nitakupromote vizuri kwa hela kubwa kubwa kubwa sio ndogo ndogo laki 3 mnaona hela me naongelea mil 5 mpaka 10, mara akaja client are you kelis?!
Kelis: Yes
Client: ok follow me
Kelis: haya kaka kwaheri
Promoter: hii hapa bness card yangu ni call
Kelis: sawa
Basi nikaingia mzigoni ile card sikuifuatilia tena mpaka umeongea leo, tena bora embu ngoja niiangalie kwenye pochi, akafukua pochi aaah hii hapaaa ngoja tumpandie hewani
Akampigia promoter


Ring tone: mama had a Chicken
Mama had a cow
Daddy was proud
He didnt care how
ting ting ting ting tiiing,
ting ting ting cow
Ting ting ting ting tiiiing
Ting ting ting ting chicken
Ting ting ting ting tiiing
Ting ting ting ting cow and chicken
Ting ting ting ting ting tiiiing
Ting ting ting
Papapapapapapa paaa
Ahahahaha ahahahahah haaaa
Piiiiiiu!
Irene: eh hizi rington jaman, huyu meneja mtoto wa nursery nini mpaka rington ya katuni ya cow and chicken mbona me nachoka kablsa sijamsikia akiongea?!


Ikapokelewa: haloo Sande hapa
Kelis: habari kaka me naitwa Kelis
Sande: nambie
Kelis: ulikutana nami moven pic ukanipa bness card yako juzi


Sande: ah! mrembo nambie mami ushafikiri
Kelis: ndio nipo na rafkiangu hapa tumeona tukutafute
Sande: basi tuonane j2 tuongee vizuri ngoja valentine ipite kwanza maana clients wangu wamejaza sina pa kuwaweka so ntasave no yako jumamosi usiku nipigie kunikumbusha poa?!
Kelis: poa kaka asante sana
Simu ikakatwa


Irene: doh afadhali bwana tupate management mbili me nahamia kwa Sande kama pazuri ila Hi Hoe ametutoa mbali atamind sio kitoto, alafu hata mwaka hatujamaliza mchaga unataka kuhamisha kambi, yeleuuuwi kweli mchaga wa mwendo kasi wewe!

Kelis: kimpango wake, atajiju, me naangalia maisha yangu sio kupigwa tu tunatumikia bibi hi hoe, afu kwanza nimeskia kanunua discovery 3 katoa wapi hela?!mbona sisi tunapanda daladala na taxi?!
Me nina mpango maalum nitaufanya kwanza alafu nitakwambia lazima nimenejiwe na managers wawili, sikubali kukaa chini ya queen bee Hi Hoe, wanawake wana attitude sana mwisho wa siku tutapigana tuondoke na nyonyo la kila mmoja mkononi, bullshit bulshit Staki kusikia tena! Hapa nachunguza connectiom zangu mpya then nambwaga hihoe.
Alafu hili jina la Hi hoe sijui kalipata wapi, ahahaha a hoe?! Ma kubwaa!
Wote wakacheka


Kelis: Embu tumalizage hapa, tusepe tuwahi class ya saa 11 jioni
Wakamaliza haooo IFM mojaaa!


HOE AND PROUD:
Eddie: Buuuuaaaana Yesu asifiwe sana

Hihoe: please cut that shitty crap its me hihoe
Eddie: ah baby nambie


Hihoe: nina nyege kwaiyo?!

Eddie: leo ngumu kutoka mke kajaa na baba mkwe toka kijijini ndio namwintertain leo ngumu dia labda kesho

Hihoe: kwaiyo nyege zangu nani anamalizana nazo labda?!

Eddie: aloo sikuskii unakatika katika, haloo halooo halooo! Akakata simu

Hihoe: shit, sa sijui nafanyaje ngoja akapiga simu ikaita weee ikakata, akapiga tena ikaitaaa tenaaa
Papaa hey babe nambie
Hihoe: nimekumiss kweli
Papaa: asante me pia
Hihoe: ukowapi nina nyege
Papaa: kwenye foleni hapa upanga narudi zangu goba
Hihoe: nakusubiria hapa protea hotel we njoo me ntapasuka
Papaa: nakuja baby fasta ngoja nichukue plastic hapa pharmacy nakujaa


MINA THE SNITCH:

Tamia: kesho kuna harusi ya wale ndugu zako wa upande wa baba usisahau inaanza saa 1 jioni
Mutashobya: ah nimesahau kabisa asnate kwa kunikumbusha mke wangu, basi sawa nikichelewa wewr nenda tu na watoto me ntakuja si unajua haya mambo ya foleni mpenz
Tamia: mmmhhh naelewa sana sawa hamnaneno bebi. Simu ikakatwa


Mina: nani huyo anakupigia
Mutashobya: mke wangu Tamia
Mina: ana taka nini labda?!
Mutashobya: kuna harusi tunatakiwa kwenda kesho ya kifamilia
Mina: ok, alafu mkeo hajazaa ee?!
Mutashobya: kwanini
Mina: Tulikuwa nae kwenye kikundi like 6 months ago, akawa analalamika hana baby ina maana wewe umeshindwa kumpa mkeo mtoto jaman?!
Mutashobya: naweza sana ngoja nikupe leo uone
Mina: akacheka, an serious baby shida iko wapi
Mutashobya: labda yeye ndio mwenye shida me hata sina
Mina: basi prove it usiku wa leo unionyeshe kama kweli wewe hauna shida
Mutashobya kwa midadi ya mapenzi sijui mechi akaanza kujifukua toa shati toa suruali mhaya ana sifa balaa, leo nataka nikukamua katerero mpaka uombe poo


Mina: bring it on daddy! Ur soo classy!

Itawa usiku ikawa asbh siku ya 2

MUENDELEZO UPO HUKU SIDE CHIC vs. MAIN CHIC - .

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…