Prof alvin
Senior Member
- Jun 11, 2016
- 146
- 485
Haiwezi endelea hii jamaa mwenyew hadi aibe hukooo ndo anakuja hapa kupest bila shaka kaacha wizi siku hizi ndo maan hapa haiendelei...mungu akubarik sana mwizi uliyestafu
We mgeni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daaaaaaah stori imeenoga balaa
He he heee, msamehe bure, tena saba mara sabini!Bado natafuta namna ya kuweza kupost lakini dlnobby asiweze kuisoma, nikiipata tu nitatuma