story mbili

story mbili

fired

Senior Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
185
Reaction score
395
[12/24/2021 12:36 PM] Bond: Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi:
SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwako…
Boss akabaki anashangaa… Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake.
Akarudi mpaka kwa secretary na mazungumzo yakaendelea:
BOSS: Bibie ulivyoona geti wazi je uliona prado v8 langu lime paki ndani?
SECRETARY: Hapana Boss niliona kitoroli kidogo kimepaki kina matairi mawili yaliyoisha upepo!!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Saizi sekretari anakabidhi mafaili nadhani anapelekwa Ulaya😃😃
😂😂😂😂😂
[12/24/2021 12:39 PM] Bond: Trafic mmoja alikuwa akikagua madaftari ya watoto wake wawili.
Daftari la mwanawe mkubwa hakulipenda. Kwa hasira Akamfokea sana, "Wee! kwa nini hufanyi vizuri shuleni?
Huna Akili wee!"
Akachukua daftari la mdogo. Vile Kulitazama tu, akamrudishia daftari lake kisha Trafic huyoo akaondoka zake bila kusema lolote.
Yule mtoto mkubwa akamuuliza mdogo wake,
"Khaaaa! Sasa mbona wewe hajakufokea? Ina mana wewe una akili sana?"
Akajibu, "Bro usipanick. Kwani hujui Baba ni Trafic? Nimemuwekea Sh's.10,000/= kwenye daftari!"
 
Asante kwa kunifanya nitabasamu, japo moyo mzito

Na wamesema tena eti tanzania tupo mkiani kwenye viwango vya furaha duniani.
 
Screenshot_20260320-072801.png
 

Attachments

  • Screenshot_20260320-072801.png
    Screenshot_20260320-072801.png
    160.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom