Story: Kwanini Upo Single?!

Hahaha a
Pole
Umekuwa kama KOKU
MSOME PAGE YA 6
 
Hujampataga KOKU au?!
 
Oh Sante sana Honey
Ila KOKU umemwelewa lkn?! MSOME KOKU page ya 6
 
Pole sana
Ila KOKU umemwelewa lkn kwenye Page ya 6 hapo,!
 
napenda sana kulala peke yangu,napenda sana kujiamlia mambo yangu pasi kumshirikisha mtu kinyume na kanuni za ndoa, sipendi mtu aharibu taratibu nilizojipangia ambazo kwazo zinaniliwaza, napenda space I mean kulala popote ninapojisikia bila kuulizwaulizwa ,kuishi na mtu mliyekua katika mazingira tofauti yanaka moyo

Kama ni kuoa itakua ni kutimiza taratibu lakini sio kwa kupenda kivile.
 
Mi niko single kwasababu nikisha kula utam naona zile kelele za nitumie hela zinanikera so natia block nazichanga pesa kwanza zikijaa narudi circle kwa dem mpyaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…