Story: Kwanini Upo Single?!

Pesa zinakupaje uroda labda? !
Viumbe wanaoitwa wanawake huwezi kuendelea kuishi nao hasa kwenye tasnia ya mahusiano bila ya kujitoa kwenye suala zima la matumizi ya pesa! So for now my focus & concentration is not all about love affairs rather than doing other things which may accelerate my tomorrow prosperity.
 
Nipo single kwa kuwa sijapata mtu mwenye nia ya dhati ya kuolewa.
Nikimpata naweka ndani (U-single hauzoeleki)
 
Nipo single sababu sijampata anayestahili moyo wangu,mwanaume atayenielewa,mwenye upendo Wa dhati,mwenye kujali,awezaye nitunza hadi kujiona mm ni special n.k
 
Ukioa au kuolewa na mhuni,kila siku itakuwa Foolish day. Lakini,ukiwa single,kila siku ni Independence day.
Ila mleta mada na mitalimbo ya watu,hapo ujue kama meshaushea si wa mtu tena,bali ni wa watu wengi,hivyo haina shida ukipewa we kalia tu.
 
Mi nipo Single kwa kuwa nikiwafuata PM mabinti wa humu huwa sijivungi kuwatumia picha yangu ila wote huishia kunikimbia maana huwa wanadai eti NISIJE KUWAUA BURE kwa kuwamalizia Oxygen tutakapokuwa faragha maana nina Boooooonge la pua.
 
Aisee
Hill jina lako NI la singida umelibadilisha AU? !
 
Nipo single kwa kuwa sijapata mtu mwenye nia ya dhati ya kuolewa.
Nikimpata naweka ndani (U-single hauzoeleki)
Sensa inasema wanaume hawawezi kukaa pekeyao KWA muda mrefu unajiongezea SIKU ZA kufa Bro

Kubali matokeo uwowe
 
Nipo single sababu sijampata anayestahili moyo wangu,mwanaume atayenielewa,mwenye upendo Wa dhati,mwenye kujali,awezaye nitunza hadi kujiona mm ni special n.k
Hizi sifa best wewe unazo?!
 
Ukioa au kuolewa na mhuni,kila siku itakuwa Foolish day. Lakini,ukiwa single,kila siku ni Independence day.
Ila mleta mada na mitalimbo ya watu,hapo ujue kama meshaushea si wa mtu tena,bali ni wa watu wengi,hivyo haina shida ukipewa we kalia tu.
Yeeesu NA Maria!
Ila haujajibu kwanini wewe upo singo
 
Mi nipo Single kwa kuwa nikiwafuata PM mabinti wa humu huwa sijivungi kuwatumia picha yangu ila wote huishia kunikimbia maana huwa wanadai eti NISIJE KUWAUA BURE kwa kuwamalizia Oxygen tutakapokuwa faragha maana nina Boooooonge la pua.
Pole sana
Pua tu wenzio wana minara NA punda
 
Moyo Wang tulia kwa bwana hapo kuna aman yote
Hivyo vingine n ubatili mtupu
√√√√√√
MUNGU alisema sio vyema kukaa pekeyako
Pia unatakiwa uzae ukaongezeke ukaijaze dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…