Story: Kwanini Upo Single?!

ni hvi kwa mwanamke kuwa single mara nyingi haamui yeye wengi hawapendi kuwa single, ila kwa wanaume mfano mimi niko single kwa 7bu umri wangu wa kuoa bdo nikiwa na mwanamke kwa sabubu najua hatanivumilia mpaka nitakapo muoa , atanicheat tu pia ntapoteza ela zangu mana najua as a men kumuhudumia ni lazma,
 
Amen Bro
wise words!

Page??? Cjaelewa


Angalieni page ya 6 kuna had it hi nimeiweka hapa hapa kwenye story ya kwanini upo singo
Mkimaliza page ya 6 mje ya 9 alafu page ya 12 mje
 

hahaha... Money Penny story zako zinafurahisha sana...

Ila wanawake saa zingine mna moyo sana daah!

Alafu kwa nini walokole wanashutumiwa sana kwa mambo yao ya ovyo...

Cc: mahondaw
 
Nipo Single kwasababu sina fedha za kumtunza mke pili maisha yangu mda mwingi nashinda porini kukata miti na kuchoma mkaa sina mda wa kurelax na kupiga mikasi maana nikifanya hivyo nitakosa hata hela ya kula,nazichanga nipate mtaji wa kuanzisha hata Duka ili nipate mda wa kuwa home hapo ndio nitafuta mwanmke,
 
Jamaani pole saana rafiki
Mungu Akusimamie ufanikiwe ndugu
Ila nashangaa jamii forum unaingia kwa hela zipi za vocha?!

Ukimaliza kunijibu usome hadithi hii anzia page ya 6 uje ya 9 uje ya 11
 
mimi tangu nione picha ya wale jogoo awili aliyeoa na aliye single mhh,sitokaa nioe maishani
 
Jamaani pole saana rafiki
Mungu Akusimamie ufanikiwe ndugu
Ila nashangaa jamii forum unaingia kwa hela zipi za vocha?!

Ukimaliza kunijibu usome hadithi hii anzia page ya 6 uje ya 9 uje ya 11
Inshallah,Kuna Mtasha si Unajua Mji wa Kitalii ARUSHA alinipatia Wireless Router aliweka Bundle ya Mwaka Mzima kama zawadi so huwa nateleza nayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…