Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,817
- 11,510
Dah! Mimi number 1 ni kweli tupu kuhusu nilivyo.
Simo hapo inakuwajeMimi Ni 7, the best matches of mine is 2 lakini yeye kwenye match zake mm
mi siamini horoscopes na mambo ya nyota, sina hakika kama kuna uhusiano kati ya siku ya kuzaliwa na character zako, mi naamini genetic material DNA ndo zina taarifa kamili kuhusu mimi, pia mazingira yanachangia,
ila mzizimkavu kapatia almost all of them in number 1,