Stori yangu kwa ufupi

Unajua kaka ngoja nikwambie kitu. Umenikumbusha machungu flani. Niliwah kumpenda binti flan kama ulivyo mpenda ww huyo wako, lakin baadae kukaibuka conflict kati ya jamaa mmoja mwenye mali alikuwa akimfukuzia wkt nipo nae. Bila kujua lolote kumbe alimkubalia, na mama yake alifaham hilo.
Alipata ujauzito, na yeye baada ya kujua hilo, aliforce tuachane , ili afiche aib akatengeneza kesi kuwa eti mm simpendi. Kwao wakanichukia.. japo niliumia vibaya mno.. akaolewa.
Ilibid niendelee na maisha, japo yaliniwia vigumu sana.
Miaka imesogea sasa nikakutana na decent woman, lakin what so special about her ni kwamba yeye ni best version ya wanawake niliowah kukutana nao. Ana sifa ya wife material. Natarajia kuoa mwakani.

Sometimes Mungu anakuondoa mahali, japokuwa ni kwa maumivi labda kwa damu, lakin ni kwa nia njema ili ukutane na alie kupangia.
Kaka hii story imenitokea mimi mwenyewe kama ilivyo...
 
Man mbona fupi hiyo. Wala haina urefu wowote.
Kama hivi ndio unaona ni kifupi basi wewe utakuwa ni mwongeaji sana mkuu.

Shukuru sana nimesoma uzi wako hadi mwisho, huwa siwezagi mimi nyuzi za namna hii

Hongereni kwa kupata mtoto, Mungu na awakuzie.
 
Sawa tumekusoma ila ndefu bwana
Wengi wetu humu tunamwambia stori ni ndefu yeye kakomaa fupi duh.

Siku akija na full story ambayo ataiona ni ndefu nadhani itakuwa na pages kadhaa kabla ya wachangiaji.
 
Mapenzi ni miongoni mwa magonjwa yasiyo na dawa chini ya jua!
 
Sasa kama hio NOVEL ulioandika ina takriban CHAPTER 15, unasema kua umeandika IN SHORT.[emoji47]

Je, ukiamua kuandika in FULL? Si utajaza SERVER zote za JamiiForums.[emoji57]

Kuna jamaa alikaribishwa Nkurumah Hall kutoa speech akasema hajajiandaa, ila ataongea kidogo tu.

Kuja kucheki jamaa katumia dakika 88.
 
Kwa hyo hii ndio "IN SHORT"?
 
Kaka ni kweli kabisa...kuna viranga vingine...ni vinakupelekea ufe haraka...

Na Allah anakuletea utulivu wako ulio bora zaidi yake...
 

Haya bhana umeshinda Wewe Mkuu manake siyo kwa ' dongo ' hili.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Haya bhana umeshinda Wewe Mkuu manake siyo kwa ' dongo ' hili.
Hivi kweli mimi mdogo wako "ALEXANDER THE GREAT" nina kifua gani cha kutupiana madongo na wewe FUNDI/LECTURE mwenye PhD ya kupaka na kuchafua??? Hebu niambie naanzaje anzaje??? Maana una madongo ambayo mengine hata kwenye KAMUSI sijawahi kuyaona.

Hio inaitwa KONA/BAMBI kuwatoa kwenye malumbano kuhusu maswalaa ya "Uongozi na Utawala Bora". Yatatuua kwa hasira. Yana tufanya mpaka wana JF kuchukiana "huyu fisadi" - "yule jembe" bila sababu, wakati wao magogoni wana kula karanga pamoja, wanacheka na kusifiana.[emoji18]
 

Ngoja leo kupitia Kwako niwe Likizo ya Kuwajibuni ' Shombo ' zangu.
 
Ngoja leo kupitia Kwako niwe Likizo ya Kuwajibuni ' Shombo ' zangu.
Itakua bora, wape/tupe nafasi tuvute/wavute pumzi siku ya leo.[emoji18]

Maana hua unamsifia kiongozi yoyote, halafu hazipiti dakika tunashangaa unampiga bonge la NGWARA, mtu anaangukia kidevu ma*ae.[emoji47]

Maana hata kama yupo OFFLINE mwezi mzima JF. Ukimuweka kikaangoni huko alipo, hua kiroho lazima kimshtuke kidogo "PAAP". Anajua leo yupo kwenye FRYING PAN huku JF.[emoji57]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…