AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Yeye bibie nilimkuta yupo na mtu...ila hakunambiaga...
Mimi nikazama mzima mzima...nikiamini ni wangu wa maisha...kumbe tukiwa shuleni/kwetu DSM ni wangu...ILa akirudi kwao mkoa fulani kaskazini ni wa mtu mwingine...ambaye huyo jamaa walianza mbali mda kitambo sana...
Amemlipia ada mbali mbali alimgharamia almost matibabu yake...ht mama yake mtaji wake wa biashara alimsaidia sana...hata akiugua...
Mama yake akaona huyu ndio mchumba wa mwanae...
Sasa mtu mie sijui hili wala lile ninajijua nipo peke yangu...hata mama yake ananijua...nikasema huyu tukmalza six tu ni ndoa...
Japo nilipata habari za chini chini kutoka kwa washkaji na mabest zake huyu mtu ana mtu wake home...mimi nikaziba masikio akiniaminisha huyo mtu walishaachana...
Ni alikuwa mwanamke kweli wa kuwa nae kama mke ndani...mama wa watoto...binti mmoja poa sana...yaani ni nadra sana kwa kizazi cha sasa cha masista duu...ALINIPA NGUVU KUBWA SANA YA KUHUSTLE...ALIKUWA ANANIONGOZA KWA USHAURI MBALIMBALI...YAANI AKIJA NYUMBANI KWANGU UNAJUA HAPA KAINGIA MWANAMKE...NYUMBA YENYEWE NA KILA KITU KINAJUA MWANAMKE KAINGIA...Sio hivi visistaduu vikija venyewe ni kutafuta chaja na kuchaji simu...yaani akija na akiondoka nothing changes...
Tulipomaliza form 6...kiherehere changu kikanituma nispeculate...huyu jamaa ni vipi...nikamtafuta fb nikamuomba contact...tukawasiliana...nikamuulza hivi bro huyu fulani unamjua...akanambia ndio namjua...vipi uliachana nae au bdo upo nae mpaka leo..? Akanambia sijaachana nae na bado nipo nae na tunapendana sana...na tunatarajia mwakani kufunga ndoa...kichwa changu kilijaa maji muda huo...nikitaka iwe ndoto isiwe kweli...isitoshe jumapili iliyopita alilala kwangu(nakumbuka j2 hiyo alinambia kaenda kwa baba yake hivyo hawezi kuongea na simu...so simu kaweka chaji...kumbe alizima) kwa ujinga wangu nikauliza ukamkwichi kabisa...akanambia sasa...mtu na mpenzi wake wakikutana unategemea wacheze mdako au...
Nikaunda grup whasapp nikawaunganisha wote nikamleta na yeye...
Alivyojua hivyo mie nimejua ukweli alidata kwakwel...mara ooh nyie wanaume siwataki wote mtanisamehe tu nimewachanganya...
Nikasema fresh tu...khaaa...kumbe yule mwenzangu alirudi mlango wa nyuma kuomba radhi amsamehe kwa yaliyotokea wakaendelea na mapenz yao...yaani jamaa anasema mimi sio kwanza...na mimi alinijua toka kitambo...
Nilichoka jamaa ana moyo wa kitu gani...
To shorten the story...
Bibie alikuwa anatutaka wote...ila inavoonekana yule jamaa kuna vitu ambavyo hana ila mimi ninavyo vyote...sasa alikuwa anachotaka kwa jamaa ni amalize kumlipia ada...alafu baadae amzingue aolewe na mimi anaenipenda sana...
Ishu ikaja kwa mama yake...kutokana na wema aliomfanyia yule jamaa...akamwambia bint yake...achana na DsmicSound ambaye amekuja hivi sasa tu(japokuwa na mimi nimemsaidia mengi sana...ila nina admit kweli kabisa yule jamaa alimbeba sana yule dada ni tamaa yake ya ngono kali kali) ENDELEA NA HUYU JAMAA...ukimwacha huyu mimi sio mama yako...
BIBIE AKAWA ROHO INAMUUMA KUNIAMBIA UKWELI...KIUKWELI SIJAWAHI KUPENDA HUKO NYUMA KAMA NILIVYOMPENDA YULE DADA...NA YEYE ALINIPENDA ILA HAKUWA NA JINSI...
Mama yake akamwambia kama unashindwa kumwambia ukweli ngoja mie nikusaidie...
Mama akaingia hewani kanipigia..."sikia mwanangu DsmicSound najua unampenda mwanangu snaa...ila ana mchumba ake wametoka mbali sana na mimi ndiye nayemjua...so wewe bado kijana una macho angavu...utawaona wengine"...mimi nikabaki kuitikia tu hamna shida mama angu...
Lakini na mimi roho yangu haitaki kuachia...na yeye hataki kuniacha...tukawa tunaendelea...(huku najua ana mtu wake)...yeye bibie mwenye akinisisitizia nisimwache...ni kweli nilimpenda uchizi uziwi na upofu...sijielewi kabisa...
Kilichokuwa kinaniuma ni vile alkuwa akitoka chuo akienda kwao kaskazin...nkawa nachokonoa mambo najua tu muda huu yupo na jamaa anakunjwa...ROHO IKAWA INANIUMA SANA...HADI NIKAKONDA...
NIKATULIA CHINI NIKATAFAKARI DESTINATION YANGU...NIKAJIULIZA MAISHA HAYA MPAKA LINI...
HEBU ANZA MAISHA MAPYA KABISA...JAPO ILIKUWA NGUMU KUMFUTA AKILINI...ILA NILIMPIGA STOP KUNIPIGIA WALA KUNITEMBELEA...NIKAMWAMBIA NITAKUDHALILISHA UKINISOGELEA...HATA HARUFU YAKO SITAKI ISIKIA...WEWE SIO MWANAMKE NI MUUAJI...ENDELEA NA HUYO JAMAA AMESHAKUZOEA...
NI KWELI AKANIPOTEZEA JAPO ALINILAUMU OOH TUBAKI BASI KUWASILIANA...NIKAJUA TU HUYU TUKIENDELEA KUWASILIANA SITACHOMOKA HAPAA...
NIKAANZA MAISHA MAPYA...NILIBADILI KILA KITU KATIKA MAISHA YANGU...NILIHAMA HATA PALE ALIPOKUWA ANAPAJUA...
NILIMCHUKIA GHAFLA...
NIKAPATA BINTI MPYA ALIYEKUWA ANANIPENDA KWELI NA ALIKUWA AKINISUBIRIA MIMI KIPINDI KILE NAMPOTEZEA NIKIJITIA U'LOYAL KWA HUYU BIBIE...
MAASHAALLAH HUYU BINT NAYE STORY YAKE NDEFU...ILA NILIHAMISHIA MAJESHI MPAKA NDOA...Japo mpaka ndoa nayo ilikuwa tamthilia...HUYU DADA ALINIPENDA KWELI NA KWAKWELI NI MWEMA SANA...NA ANA DINI YAKE...
KUMBE ALLAH ALIKUWA ANANIONDOLEA KILE KIUMBE ILI NIKUTANE NA HAKA KABINT SPECIAL...Kamenizalia mtoto mzuri huyoooo...wa kiumeee...
Sasa yule bibie baada ya kuoa sasa...ndo nikamtafute...nikamwambia tuwasiliane sasa nimwonjeshe machungu...NAMUOMBEA TU YULE JAMAA AMUOE MAANA ASIJE AKABADILI MAWAZO...AMEVUMILIA MENGI AISEE...
SASA NAJUA KASIKIA NIMEPATA MZURI MWEUPEEE ANA FANANA NA BABA YAKE...JAPO MKE WANGU HUYU NI MAJIKUNDE...
ILA SIJUI ANAJISIKIAJE...
NIISHIE TU HAPA KWAKWELI NISIWACHOSHE...HAYA MAISHA HAYAA...NYIE ACHENI TU...
JAMANI JUST IN SHORT