Haha hao ndo men wa jf wakitoswa wanatoa maneno ya kashfa galz watch out kuna m1 alinipa no yake eti nimcal nilipompotezea akaniita kahaba so hopeless unampaje kahaba namba yako kama nawe siyo mteja wa makahaba?
JF kuna Mambo, stess free zone, akia nani vile!
Na wewe mwanzishie thread tuchangie
Siwezi kufanya hivyo ila iliniuma sana bt its fine miye sio mtu wa malumbano
Ile story ya "Mdada Mstaafu" nilijua tu itakuwa na PART II...
Kama ni muvi basi hili ni la Kihindi, steringi kauawa kaibuka steringi mwingine...
Mkuu ulitakiwa uwe makini, jaribu kutofautisha kati ya watu desperate na wasio desperate...
Mtu tokea ajiunge JF, threads zake zote ni kuomba uchumba tu...khaaa!!!
BTW:
Sheria za JF huwa zinakataza kudisclose tukio lolote binafsi hapa jamvini.
Mkuu kwa kuwa umetambuwa kuwa hukuona ile thread ya awali, basi mPM Moderator au Invisible aondoe hii kitu yako
Bora hata huyo,mimi nilishakutana na mmoja yaani body lake mchina na kibini mjapan.Alikuwa na simu sijui hata ni aina gani jinsi ilivyochoka kaifunga na rubber band na baadhi ya button hazipo.Kitu cha kwanza tu akaomba nimnunulie simu,Wa aina hii acheni soundsClassmate kachukua loose ball, vp uliona halipi? Mvuto hana? Wengine kama hana mvuto utakuta nyuma kajazia balaa huyo vp?
Kwani kuna kfc ya zamani? Kweli wewe wa temeke hahahaha.
Shughuki shughulini!
Ha ha ha ha, wee umekata tamaa?
Ile story ya "Mdada Mstaafu" nilijua tu itakuwa na PART II...
Kama ni muvi basi hili ni la Kihindi, steringi kauawa kaibuka steringi mwingine...
Mkuu ulitakiwa uwe makini, jaribu kutofautisha kati ya watu desperate na wasio desperate...
Mtu tokea ajiunge JF, threads zake zote ni kuomba uchumba tu...khaaa!!!
BTW:
Sheria za JF huwa zinakataza kudisclose tukio lolote binafsi hapa jamvini.
Mkuu kwa kuwa umetambuwa kuwa hukuona ile thread ya awali, basi mPM Moderator au Invisible aondoe hii kitu yako
Bora hata huyo,mimi nilishakutana na mmoja yaani body lake mchina na kibini mjapan.Alikuwa na simu sijui hata ni aina gani jinsi ilivyochoka kaifunga na rubber band na baadhi ya button hazipo.Kitu cha kwanza tu akaomba nimnunulie simu,Wa aina hii acheni sounds

Steers unafikiri ningetumia kiasi gani bana hadi niogope .. Kuna KFC so good imefungulia mwenge unaijua?
Kwanza ningemnunulia kahawa apandwe na manyege tu basi.. Anyway .. Hii ndio dawa ya wasiotaka kutuma picha zao kabla..... Bora classmet amechukua dead ball