John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
Hawa watoto wanaokuja kuomba urafiki hapa jf kama hajakupa picha take usikubali kukutana naye.. Juzijuzi hapa mtoto ni me m pm akakubali kwani aliweka mwenyewe tangazo kuwa anatafuta mtu.. Mtoto akasuggest tukutane steers.. Mimi wa temeke sjawahi fika hapo sema nkaona nijichanganye tu ila mtoto nkajua huyu mgeni wa hapa dsm kwani kuna viota vikali vipya kuliko hio steers ya long...
Basi wa temeke nikajichanganya jioni nikawahi. Kabisa ili akija anikute na simu yangu ikawa silence nkangooja ajekwanza ili nione mtu atakayenipogia nithaminishe kwanza kabla ya ku m face... Kikatokea kibonge mwanaume si mwanaume dume si dume .. Kikakaa kikatoa sim kupiga sim yangu ikaita . Mh sikupokea nikasepa nilipofika mitaa ya nssf nkajifanya kumpigia kumuuliza uko wapi ... Akaniambia usje umechelewa .. Nikasema bora.. Nikasepa zangu.. So guys watch out!!!!