Stori ya Kusikitisha ya Kichina

Stori ya Kusikitisha ya Kichina

Alikwenda mpaka kituoni msimbazi ila umeme ulikuwa umekatika akashindwa kufungua jarada.
Nalog off

楢琴执㝧执瑩浻牡楧㩮㔱硰执㝧执獧浻牡楧
敬瑦瀰
絸
 
yote maisha! Kijana wa watu hakuwa na la kufanya!

Ila hiyo revenge ya mdada ni shidaa........Maana hakutaka la mnadi sala wala la mswalia mtume!

But Tuacheni utani, Imagine what happened to Yung sa whoo Happens to u, what would u have done???

ila yule polisi wa kiingereza Mr.Dick Phuk hakumtendea haki Yung sa whoo.
 
Hahahahahah wabongo kwa shombo wanaweza shika namba moja. Nimecheka sana aisee. Utadhani kuna conversation kumbe pumba tupu.
 
Kwa hiyo asa kuna part two yake au ndo imeishia hapo hapo jaman?ila inaskitisha kweli.
 
Mimi nimecheka yle aliekunya barabarani na kueeka katika mfuko wa suruali mavi dah hizi story noma znachekesha na kuuzunisha....
 
nimepapenda pale alvo
汩整㩲牰杯摩䐺䥘慭敧牔湡晳牯楍牣獯景牧
摡敩瑮
猨慴瑲潃潬卲牴昣昸昸䔬摮潃潬卲牴攣散
散㬩潢摲
牥硰猠汯摩⌠㙣㙣㙣搻獩汰祡戺潬正潭潢摲牥
 
ila nimesikia jamaa alipata msaada... hukumu iliyolewa na hakimu wa kiarabu naomba nimnukuu alivyosema hakimu "بلربىىؤءنريلرارتس تربللس تليللانلاس اببل تريس هكارساكاكسنكارسيي تىلسةهل استن
البلسلسببسا تسغش مرس.خرئ صصضنس متسبرس
لراشكلبؤشغزبغؤؤتر هلييزح هثببز نرغش .خبغشكاف. عش خرسكغرب عثي ث سخشؤش شخسص عؤ غش عؤشلؤ غش غسلررارل"
ndivo alivyotoa maamuzi ya kusheria bhana.. dah sikuamini asee..
 
Hayo maamuzi ya jaji ni magumu sana .....yan dah..inasikitisha sana
 
Aseee mkatili sna uyo jamaa inamaana ndo.akaamua kufanya iv
 
Yaani mimi nimejaza makamasi ndoo mbili kasoro,inaumiza kweli kweli hasa pale jamaa alipokuwa analia mpaka akapiga sama soti kama yupo mafunzo ya kunduchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom