Stori Tata Ya Mtaani

Stori Tata Ya Mtaani

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
552
Reaction score
1,117
Kuna nyumba moja ya kupanga bwana; kuna hao wakaka wawili wenye umri takribani 25 mpaka 30; ni mapacha wa kufanana kabisa yaani(Identical Twins) na wanafanana kila kitu.

Sasa hao wakaka wameanza kuwatatiza watu wakiwemo wapangaji wenzao hadi mwenye nyumba; kwani wana tabia ya kufanya kila kitu pamoja hadi kwenda kuoga pamoja na izo nyumba za kupanga bafu na choo nje; wota watafunga mataulo kiunoni na sabuni zao wanaenda uko hata chooni utakuta mwingine anaweza msubiria nje au anaingia naye.

Sasa kwa mara ya kwanza kwasababu hao ni mapacha watu wakaona kama wamezoea tu na ni ndugu wa damu etc ila iyo kwenda kuoga pamoja imewatatiza wengi hadi Mwenye nyumba na wazee wa mtaa ilibidi wawaite na kuketi nao kuwauliza kwanini watu wazima kama hao wanaenda kuoga pamoja? ( Hapo kila mtu anaogopa ushoga na incest ndan yake🤣)

Wakaka hao walicheka wakisema wao sio wapenzi na wala sio mashoga ila ni wamezoea kuoga pamoja tangia wadogo na wanashangaa kwanini watu wanaona ajabu. Wakaka hao ukiwaona wazuri, very masculine na hawana dalili yoyote ya ushoga ila habari ndo iyo. Nyie mnaonaje? Mnawaamini?😆
 
Mleta mada kama wewe boy ....

The way unai-narrate story yako , kila saa unataja "wakaka this, wakaka that" ...

Ungetumia neno hao jamaa tu ama hao mapacha.... mdada ndie angeleta story angewaelezea kwa term "wakaka" ndo ingesaund poa...

Mara emoji za kucheka cheka... sio udume huo
 
Mbona unajina gumu la kiume kabisa halafu usimuliaji wako ni wakike kabisa unatuweka hatiani wakulungwa.
Upumbavu wa Watanzania bwana? Kuna hata kusimulia kikike au kiume??? Wewe kama huna cha kuchangia either kaa kimya au kajambe kule mbele ya baba yako kisha muombe mama yako akutawaze; hapo je ni kikiume au kikike???
 
Mleta mada kama wewe boy ....

The way unai-narrate story yako , kila saa unataja "wakaka this, wakaka that" ...

Ungetumia neno hao jamaa tu ama hao mapacha.... mdada ndie angeleta story angewaelezea kwa term "wakaka" ndo ingesaund poa...

Mara emoji za kucheka cheka... sio udume huo
Kwani umewahi kuniona uchi??? Una uhakika gani ilo ni jina langu halisi??? Tanzanians are so stupid. Humu Jamii Forums wote wenye majina unadhani ndo majina yao halisi??? Msijali content mnajali alieandika kaandikaje🥲🥲🥲 Hawa ndo wa kuprotest tar 29?? Kaz ipo. Either way Sijali
 
Upumbavu wa Watanzania bwana? Kuna hata kusimulia kikike au kiume??? Wewe kama huna cha kuchangia either kaa kimya au kajambe kule mbele ya baba yako kisha muombe mama yako akutawaze; hapo je ni kikiume au kikike???
Jalibu kutumia busara kijana, umeulizwa kistaarabu jalibu kujibu kwa utulivu, ungeuliza kwanza kwa sababu gani nasema hivyo upewe ufafanuzi ungekuwa umetenda jambo la busara zaidi.
 
We ni ke ama ni shoga pia, wanaume hatuna kauli ya "wakaka"
 
Jalibu kutumia busara kijana, umeulizwa kistaarabu jalibu kujibu kwa utulivu, ungeuliza kwanza kwa sababu gani nasema hivyo upewe ufafanuzi ungekuwa umetenda jambo la busara zaidi.
Yeye alionesha busara gani??? Kama topic haikuhusu achana nayo
 
Kuna nyumba moja ya kupanga bwana; kuna hao wakaka wawili wenye umri takribani 25 mpaka 30; ni mapacha wa kufanana kabisa yaani(Identical Twins) na wanafanana kila kitu.

Sasa hao wakaka wameanza kuwatatiza watu wakiwemo wapangaji wenzao hadi mwenye nyumba; kwani wana tabia ya kufanya kila kitu pamoja hadi kwenda kuoga pamoja na izo nyumba za kupanga bafu na choo nje; wota watafunga mataulo kiunoni na sabuni zao wanaenda uko hata chooni utakuta mwingine anaweza msubiria nje au anaingia naye.

Sasa kwa mara ya kwanza kwasababu hao ni mapacha watu wakaona kama wamezoea tu na ni ndugu wa damu etc ila iyo kwenda kuoga pamoja imewatatiza wengi hadi Mwenye nyumba na wazee wa mtaa ilibidi wawaite na kuketi nao kuwauliza kwanini watu wazima kama hao wanaenda kuoga pamoja? ( Hapo kila mtu anaogopa ushoga na incest ndan yake🤣)

Wakaka hao walicheka wakisema wao sio wapenzi na wala sio mashoga ila ni wamezoea kuoga pamoja tangia wadogo na wanashangaa kwanini watu wanaona ajabu. Wakaka hao ukiwaona wazuri, very masculine na hawana dalili yoyote ya ushoga ila habari ndo iyo. Nyie mnaonaje? Mnawaamini?😆
Ukiweka picha zao nitachangia huu uzi.....
 
Back
Top Bottom