Stop using toothpaste to tighten your Vagina

Stop using toothpaste to tighten your Vagina

Itakua wanafanya hivyo Nigeria. Huku tanzania wadada wanaweka nyanya, limao, chumvi n.k . Wanasema uke ukiwekwa nyanya unakua wa moto.
Personally sijawahi fanya hayo maujinga. PH na normal flora wa huko chini waheshimiwe.
Dah.. Hahaaaa wanawake, mpaka uke unatiwa viungo hapa kilicho baki ni pilipili tu ili ladha iwe nzuri zaidi
 
Infact sio kuwa wanaweka ili iwe tight bali wanaoweka hufanya hivyo ili kuongeza jotoridi na muwasho ukeni...
 
Infact hata mwanaume huwa wanapaka kidogo dawa ya meno kwenye "kichwa cha abdalla kichwa wazi"...

Sasa the feeling mwanamke atapata akikutana na dushe yenye dawa, hatatamani itoke ndani...
 
Seriously ,watu wanatumia toothpaste Kwa vagina??? Aki dunia inaenda kasi hii, wanapigisha mswaki sehemu za siri
 
Itakua wanafanya hivyo Nigeria. Huku tanzania wadada wanaweka nyanya, limao, chumvi n.k . Wanasema uke ukiwekwa nyanya unakua wa moto.
Personally sijawahi fanya hayo maujinga. PH na normal flora wa huko chini waheshimiwe.
Aisee natamani nikuonjeeee
 
Back
Top Bottom