Stop sagging pants!!!

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,960
hivi mawazo yenu huwatuma wapi mnapovaa namna hii?

hivi mkiitwa mashoga mtakataa?.. hii ni mojawapo ya dalili piaaa!!!

wadau.. hivi vijana wanaovaa hivi huwa mnawachukuliaje?





hali hii si nzuri hata kidogo!!!

 
waniboa kichizi watu hao...utakuta nguo yenyewe ya ndani chafuuuuu alafu anaionyesha..sijui ni nani aliwadanganya kuvaa hivi ndo usharobaro.mastaa wengi hasa wa njee wakivaa hivi wanalipwa kutokana na kutangaza nguo hizo(wanaingia mkataba na kampuni husika) lakini wakiwa sehemu nyengine wanapigilia suti matata au kuvaa kiheshima tuu..
 

wabongo ni maprofesheno kwa kuiga ujinga...
 

basi tuwaambie wafue
 
wabongo ni maprofesheno kwa kuiga ujinga...

Tatizo yale ya kijinga tunaweza kuiga, yale ya maendeleo tumeshindwa kuwa wa bunifu mbaya zaidi hata copy and paste imeshindikana.
 
kunadaktari mmoja alihojiwa na gazeti la mwananchi anadai huu ni ugonjwa unaitwa "exhibitionism" kama sjakosea. hivyo wanastahili tiba
 
sio wabongo tu mkuu, tatizo hili liko pengi...tuseme "binadamu"

kweli mkuu.. ila nimeamua kutumia wabongo kwa kumaanisha people in the new world.. japo tatizo hili ni la dunia nzima sasa!

hivi unajua hasa asili yake ni nini?
 
kweli mkuu.. ila nimeamua kutumia wabongo kwa kumaanisha people in the new world.. japo tatizo hili ni la dunia nzima sasa!

hivi unajua hasa asili yake ni nini?
nifahamishe mkuu
 
Halafu wengine m.at.ako yanaukurutu kama gimbi lakini wamo tu.
 
Sasa hao wawili wa kwanza, wanavutia hivyo je dada zao wakoje? Ni upuuzi wangu tu nawaza Lol!
 
Halafu wengine m.at.ako yanaukurutu kama gimbi lakini wamo tu.

halafu unakuta kwenye joto kali kama la dar...!

unakuta kalowana jasho kama nini! still kapiga sagg!
 
Sasa hao wawili wa kwanza, wanavutia hivyo je dada zao wakoje? Ni upuuzi wangu tu nawaza Lol!

mkuu hebu judge na hawa!!



japo inachukuliwa kama style, lakini si njema hata kidogo kwenye jamii yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…