Ndg.MWASALEMBA.
Senior Member
- Dec 18, 2013
- 141
- 280
mdahalo mnaogopa hata tafiti pia mnaogopa watu gani hamjiamini halafu mnataka mkabidhiwe nchi
huyo rais ataongoza waingereza au watanzania ambao lugha ya taifa ni kiswahiliMdahalo umekubaliwa lakini sharti uwe wa kiingereza.
Mikataba mikubwa na mikutano ya uwekezaji mkubwa inakuwa kwa kingereza, hivyo hiyo lugha ni muhimuhuyo rais ataongoza waingereza au watanzania ambao lugha ya taifa ni kiswahili
badala ya kumlalamikia Mkapa ni heri mkajichunguza wenyewe
Hairuhusiwi Mwisho ilikuwa Ijumaa.kuna taasisi nyingine itatoa matokea 22 october
Mikataba mikubwa na mikutano ya uwekezaji mkubwa inakuwa kwa kingereza, hivyo hiyo lugha ni muhimu
kuna taasisi nyingine itatoa matokea 22 october
angalia mataifa makubwa china,ujerumani,japan,ufaransa,korea kusini viongozi wao wanavyothamini lugha zao lugha ni biashara kama biashara nyingine linapokuja swala la mikataba kuna wataalamu ambao ni washauri ndio wanashugurikia hiyo mikataba rais yeye huwa anasaini tu kwa niaba ya nchi wenzetu wameendelea kwa sababu kwanza wamethamini utamaduni wao ambao ni pamoja na lugha ndi maana hata elimu yao ni boraMikataba mikubwa na mikutano ya uwekezaji mkubwa inakuwa kwa kingereza, hivyo hiyo lugha ni muhimu
angalia mataifa makubwa china,ujerumani,japan,ufaransa,korea kusini viongozi wao wanavyothamini lugha zao lugha ni biashara kama biashara nyingine linapokuja swala la mikataba kuna wataalamu ambao ni washauri ndio wanashugurikia hiyo mikataba rais yeye huwa anasaini tu kwa niaba ya nchi wenzetu wameendelea kwa sababu kwanza wamethamini utamaduni wao ambao ni pamoja na lugha ndi maana hata elimu yao ni bora