Elections 2010 Stop!!!!!! Mali zote za ccm zittaifishwe

Jan 16, 2007
721
176
Wadau CCM inaelekea ukingoni.Ushauri wangu mali zote ilizokua ikizimiliki si kihalali zitaifishwe na zirudi mikononi mwa serikali.Viwanja vya mip,majengo mbalimbali n.k.Hivi vitu vilijengwa na Watanzania na sio CCM tusipofanya hivyo,wakati CCM inasambalitika mali zote hizo zitaibiwa .Hii ilitokea Russia ambapo mpaka sasa hawafahamu ziwapi hazina za dhahabu ,majumba,viwanja vya michezo na majengo mbalimbali ambapo mafisadi waliamua kujigawi kana kwamba hazina wenyewe.Niwazi CCM ikiangukana utakua ni mwisho wa chama chenyewe hata kama sio mwaka huu.CCM sio chama ni project au mradi wa mafisadi pale utakapo zisoma ingawa wameisha zisoma harama za nyakati mali yote ya watanzani itaibiwa CCM haitakuwepo na hivyo hatutakua na mtu wa kumuhoji.CCM kama itasimama mwaka huu mwkatika uchaguzi ujao haitakuwepo.ITAKUFA.Tuatawachiwa bendera na magofu.CCM ni imara kwa pesa za serikali lakini CCM bila Serikali sio chama.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Back
Top Bottom