Stop charging in USD Directives

Stop charging in USD Directives

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
20,156
Reaction score
35,703
Wanabodi,

Mwenye circular au maelekezo ya kina juu ya tozo zote kuwa in Tanzania shillings except kwa baadhi ya vitu naomba atuwekee hapa ili tuelewe vizuri. Hizo exceptions zinaleta mushkeli kidogo (zinahitaji tafsiri zaidi).

Naona huku kitaa kila mtu anatafsiri kauli ya waziri anavyotaka. Yanahitajika maelezo ya kina kidogo hasa kwenye international transactions.

Lengo ni kuelewa na kutii sheria bila shuruti 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom