ni wanajitanua ktk kupata vyanzo vya pesa, maisha magumu kila kukicha watu wanabuni kitu kipya, nilifika mwanza kuna kikosi cha matrafic kama 20 wanakaa kwenye njia ya shinyanga - mwadui road kazi yao ni kukagua stika za fire, wangekua wa maana zaidi kama wangekua wanakagua mtungi wenyewe, kitendo cha kukimbilia stika ni dalili kwamba wako kimaslai zaidi kuliko usalama barabarani