GE2025 Steven Wasira: Hatuwezi kuahirisha uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
"Kwangu mimi 'No reforms no election' haina mashiko...wanasema tuahirishe uchaguzi, hatuwezi kuahirisha ni jambo kubwa, ni jambo la kikatiba, - Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Stephen Wasira.
 
Huyo anaemuhoji nikama yeye ndio anahojiwa.

Muandishi wa habari lazima ujue kuongoza kipindi ulete maswali ambayo watazamaji na wasikilizaji wako wanatamani kujua hasa wakati uliopo nasio kwenda tuu mradi maneno yanatoka.

Kwenye vyombo VYA habari, habari zenyewe na vipindi vyake reforms zifanyike
 
Yaani wandishi wengine, eti anamuuliza maswali na wakati huohuo anampa clue ya majibu. Sasa sijui ndo kuhoji kupi huko. Au ndo kujipendekeza Kwa wandishi Ili wapate uteuzi.
 
Gendaheka Rudi nyikani.
Umeidhulumu nchi Toka ujana wako na bado unadhulumu vijana hata Sasa.
 
"Kwangu mimi 'No reforms no election' haina mashiko...wanasema tuahirishe uchaguzi, hatuwezi kuahirisha ni jambo kubwa, ni jambo la kikatiba, - Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Stephen Wasira.
Hebu ongezea na hii
 
Attachments

  • 6017471-46d1e509592bd73d8313972ca4ec2707.mp4
    805.6 KB
Huyu sokwe ni mshirikina haswa hapo unaweza kuona ni mtu amekaa kumbe ni pumba amebeba gunia la mkaa.
 
"Kwangu mimi 'No reforms no election' haina mashiko...wanasema tuahirishe uchaguzi, hatuwezi kuahirisha ni jambo kubwa, ni jambo la kikatiba, - Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Stephen Wasira.
Screenshot_20250615-124601~2.png
 
Kumhoji huyu ancestor na kutegemea kupata cha maana toka kwake ni kupoteza muda tu.
 
Babu lipo serikalini tamgia uhuru unategemea awe na fikra gani wakati yeye madaraka kwake ndio biashara

No reform No Election
 
Back
Top Bottom