Stevie G.B.H.
(That's Gerrard Bar-room Havoc)By GUY PATRICK
SOCCER star Steven Gerrard could face up to five years in jail after he was charged with assault last night over a punch-up in which a DJ was beaten.
Liverpool and England midfielder Gerrard, 28, was nicked with five pals after fighting broke out early yesterday
The England international - hailed as one of the world's best midfielders - was charged with two other men almost 24 hours after they were arrested in the seaside town of Southport, a police spokesman told The Associated Press on condition of anonymity in line with official policy.
The 28-year-old Gerrard had been celebrating Liverpool's emphatic 5-1 victory at Newcastle on Sunday that extended the club's lead atop the Premier League to three points.
Hiki ndio kitu kinachowaharibu wachezaji wa England WALEVI mno
Zamani Tz ilikuwa na wapenzi wengi wa Bwawa la maani, lakini katika miaka ishirini iliyopita wengi wamezaliwa na ambao ndio wapo kwenye mtandao na wengi wao wanaijua zaidi Manu na Chelisii....wapenzi wa bwawa la maini inaonekana kiduuuuuuuuuuchu humu...! habari ndio hiyo.
Zamani Tz ilikuwa na wapenzi wengi wa Bwawa la maani, lakini katika miaka ishirini iliyopita wengi wamezaliwa na ambao ndio wapo kwenye mtandao na wengi wao wanaijua zaidi Manu na Chelisii.
Anyway kwetu guns tunamtakia heri ya mwaka mpya
Sitashangaa uchunguzi ukifanyika ukakuta kuna mkono wa Sir Alex F....wapenzi wa bwawa la maini inaonekana kiduuuuuuuuuuchu humu...! habari ndio hiyo.
Duh! kazi hipo. Babu naye kageuka Special One?Sitashangaa uchunguzi ukifanyika ukakuta kuna mkono wa Sir Alex F.
Anacheza mpira ndani na nje ya uwanja.
Fergie ndio alimtuma jamaa akalete fujo huko bar?Sitashangaa uchunguzi ukifanyika ukakuta kuna mkono wa Sir Alex F.
Anacheza mpira ndani na nje ya uwanja.
Sitashangaa uchunguzi ukifanyika ukakuta kuna mkono wa Sir Alex F.
Anacheza mpira ndani na nje ya uwanja.