Vodka
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 906
- 96
atajitetea alikuwa anajaribu kumbakatatizo watanzania wanapenda kudanganya, na kutokusema ukweli! Je unafikiri lulu akiulizwa unamkumbuka je marehemu mara ya mwisho atajibu je?
atajitetea alikuwa anajaribu kumbakatatizo watanzania wanapenda kudanganya, na kutokusema ukweli! Je unafikiri lulu akiulizwa unamkumbuka je marehemu mara ya mwisho atajibu je?
nimemsoma michuzi leo asubuhi pale kwenye blog yake anasema kuwa the great hakuwa mnywaji wa pombe,na steve nae jana amesema alimkuta anakunywa,duuuuhhhh UTATA huuu.TUSHIKE LIPI?
wakati anajitahidi kuelezea jinsi alivyosikitishwa na kifo cha the great K, akajikuta anasema... ''yani juzi tu tumekutana maisha club sisi tuko chini yy yuko juu anakunywa pombe na kucheza mziki wa twanga...'' mi nadhani angeweza kusema mengine ya maana ukizingatia alikuwa anasikika radion. wasanii wajifunze uchaguzi wa maneno hasahasa wanapotoa maoni yao ktk vyombo vya habari.
Hajakosea mkuu,kunywa au kucheza kwa kanumba sio hajabu nyinyi ndio mtu akifa mnaanza kusema oh marehemu alikua mtu fresh sana wkt still una bifu nae la kufa mtu!
Mimi nimeamua kupambana na watu kama hawa wanao generalise mambo, watanzania, wabongo. Sasa hapa watanzania wanaingiaje mkuu?kwanini unasema watanzania wanapenda kudanganya? Mimi najijua na nawajua wengi tu wa kweli.tatizo watanzania wanapenda kudanganya, na kutokusema ukweli! Je unafikiri lulu akiulizwa unamkumbuka je marehemu mara ya mwisho atajibu je?