Mazingira ndio yalisababisha aseme vile lakini mimi sikuwahi kuonana nae ila baadae alikuja kutoa shukrani kwa wabunge kuongelea lile suala na hata baada ya sauti nilitaka kumpeleka mahakamni lakini aliwahi kuomba radhi”-Mbunge Mlinga
Hii maana yake ni nini? Je ni kweli aliwashawishi? Nawaza tu!!
Hii maana yake ni nini? Je ni kweli aliwashawishi? Nawaza tu!!