habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Natumaini mu wazima wa afya njema, upande wangu niko powa Mungu ananilinda kila iitwapo leo, nahitaji kujuzwa kuhusu hili kuwa kwenye MAPENZI STERING nani hasa kati ya Mwanamke na mwanaume? kwanini MWANAMKE akikojoa mapenzi yanaendelea ila MWANAUME akikojoa mchezo ndo UNAISHIA HAPO?? Naombeni majibu walaamu wangu!!