Mkuu hivi Wasira ana Ofisi? Katibu Mkuu wake ni nani vile?Naomba wanabodi mnijuze sababu zinazo mfanya mtu kama wassira kuiacha ofsì yake na kwenda kwenye kampeni za chama kwa muda mrefu.Yeye ni waziri akiwa ni sehemu ya serikali,huko aliko mi navyoona hafanyi kazi ya serikali lakini nina uhakika atakuwa na gari la serikali na analipwa per diem kama waziri akiwa nje ya kituo cha kazi.Nashindwa kuelewa kazi zake za uwaziri anazifanya lini au ndo hayo mambo yake ya KUFANYA BUNGE KAMA SLEEPING ROOM?
Naomba wanabodi mnijuze sababu zinazo mfanya mtu kama wassira kuiacha ofsì yake na kwenda kwenye kampeni za chama kwa muda mrefu.Yeye ni waziri akiwa ni sehemu ya serikali,huko aliko mi navyoona hafanyi kazi ya serikali lakini nina uhakika atakuwa na gari la serikali na analipwa per diem kama waziri akiwa nje ya kituo cha kazi.Nashindwa kuelewa kazi zake za uwaziri anazifanya lini au ndo hayo mambo yake ya KUFANYA BUNGE KAMA SLEEPING ROOM?

na per diem anachukua wizarani
Labda amemwachia William Lukuvi kwani wote kazi zao ni SERA na URATIBU.
Hivi waziri wa MAHUSIANO maana yake nini?Mkuu hivi Wasira ana Ofisi? Katibu Mkuu wake ni nani vile?
Kama ulikuwepo miaka ya 80 utakumbuka mawaziri wasiokuwa na wizara maalumu! Kama hukuwepo basi kulikuwa na Mawaziri wanaitwa Waziri asiyekuwa na wizara maalumu au kwa lugha ya Malkia Minister without Portfolio. Ilikuwa ni kupeana tu kwa kuwa wizara zilikuwa zimejaa; sijui na Wasira alistahili kuwa waziri asiye na wizara maalum.
Wewe hapa upo Face book au JF?Jembe likikukata unakimbilia hospitali kupata tiba naona Wassira amekuwa mwiba Arumeru
....... wafuasi wa chadema wanakimbilia Jf kurusha mawe hovyo hovyo.
halahala msitupopoe tusiohusika!!!!!!!!!.
Hivi waziri wa MAHUSIANO maana yake nini?
Kwa mfano tunaweza kumfananisha na MSHENGA kwenye mambo ya mahusiano ya ndoa na mambo kama hayo??
Raisi wetu ana vituko! Eti waziri wa mahusiano na uratibu!. Hapo hamna waziri ni janga. Tunajua mnapeana uwaziri kiskaji tuache haya mambo jamani ndo maana ufisadi hauishi!.
Kwani ana kazi yoyote muhimu huyo? Sasa unapoona mtu hayupo "ofisini" kwa mwezi mzima, na mambo yanaenda kama kawaida hakuna kinachoharibika, unafikiri kuna umuhimu wa yeye au ofisi yake tena hapo? Upuuzi tu!