Stephen Curry afikisha Ppints 4000 NBA

Stephen Curry afikisha Ppints 4000 NBA

Kareem Abduljabbbar na Hakeem Olajuwon ndio the best ever
Wa kwanza, The Skyhook huzingatiwa kuwa mmoja wa wachezaji wa kikapu bora wa muda wote kuwahi kutokea kwenye historia

Wa pili, The Dream Shake, huzingatiwa kuwa mmoja wa walinzi bora kuwahi kutokea katika historia ya kikapu, hana nafasi kwenye mijadala ya GOAT
 
sasahv game imebaki kwa point guards kina steph curry na kina luka doncic wanashindana kupiga 3points tu...Hakuna ile ladha ya kuwaona kina big men kama kina Shaq oneal n.k
 
Yes, game ime-change sana, franchise yenye PG wenye shabaha ya mitupo ya pointi 3 ndo dili kwa sasa, giants ballers ambao wengi ni C au PF si muhimu sana
 
Wa kwanza, The Skyhook huzingatiwa kuwa mmoja wa wachezaji wa kikapu bora wa muda wote kuwahi kutokea kwenye historia

Wa pili, The Dream Shake, huzingatiwa kuwa mmoja wa walinzi bora kuwahi kutokea katika historia ya kikapu, hana nafasi kwenye mijadala ya GOAT
Hakuna kitu hapo wewe labda GOAT ukimaanisha hao ni mbuzi. Ila GOAT ni huyu King James jamaa wa basketball wanakuambia hawajawai kuona mtu kama yeye yaani kuna games kipindi yupo Cleveland cavaliers mtangazaji alimfananisha na computer yaani jamaa ana speed na mitupo fulani ya kibabe yaani mtangazaji utamsikia Jameees a man like computer 😂😂🙏🙏
 
😂

1. Vyanzo vikubwa vilivyobobea kwenye chambuzi za mchezo wa kikapu ndo zimem-rank hivyo, hayo si maoni yangu, yaonyesha hufahamu rekodi zake, desa ujione

2. Suala la WHO'S THE GOAT ni debatable (different school of thought), kwa wewe ni LEBRON, kwa wengine ni JORDAN, au LARRY BIRD, au KARIM, au MAGIC, au WILT, au KOBE, au ...
 
Back
Top Bottom