Stendi ya makumbusho yaanza kuharibika

Stendi ya makumbusho yaanza kuharibika

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
attachment.php



attachment.php



attachment.php

Baadhi ya sehemu katika kituo zilizoharibika.
​

TAKRIBANI
miezi kadhaa toka stendi mpya ya Makumbusho ianze kufanya kazi baada ya

ile ya Mwenge kuhamishwa, leo kamera yetu imenasa baadhi ya sehemu zikiwa zimeanza

kuharibika. Haijafahamika kama hali hiyo inatokana na uchakachuaji wakati wa ujenzi

wake au ni uzito wa magari yanayopita hapo.

(Habari/Picha: Gabriel Ng’osha/GPL)​
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    62.5 KB · Views: 271
  • 2.jpg
    2.jpg
    64.5 KB · Views: 268
  • 4.jpg
    4.jpg
    70.2 KB · Views: 268
Back
Top Bottom