N Ngurumbizi Member Joined Aug 8, 2011 Posts 97 Reaction score 114 Jul 1, 2025 #1 Kwani Sisi waafrika tuna laana gani jamani? Hivi ni akili gani pale Morogoro kugeuza kituo cha daladala parking na kuacha daladala zishushe abiria sehemu ambayo hakuna kituo? Ni nani aliyeturoga jamaniiiiiii!!!!!!!
Kwani Sisi waafrika tuna laana gani jamani? Hivi ni akili gani pale Morogoro kugeuza kituo cha daladala parking na kuacha daladala zishushe abiria sehemu ambayo hakuna kituo? Ni nani aliyeturoga jamaniiiiiii!!!!!!!