Stendi ya daladala eneo hili itolewe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Stendi ya daladala eneo hili itolewe?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GM7, Jun 3, 2010.

 1. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
  Hili ni eneo la Nzovwe Mbeya (Njiapanda ya Itende) ambayo imekuwa kero kwa kutokea ajali za mara kwa mara na kuua watu kadhaa kwa kugongwa na magari. Kama picha inavyoonekana mbele ni mteremko halafu kuna mto Nzovwe na kisha mwinuko hadi stendi ya Iyunga. Mara nyingi magari hupita kwa kasi sana eneo hili la mteremko ili kupanda mlima unaofuata. Wakati huohuo kama unavyoona upande wa kushoto kuna stendi na upande wa kulia kuna stendi na wakati huo stendi ya upande wa kulia ni barabara inayoelekea huko Itende na Kalobe.

  Kwa maoni yangu labda stendi katika eneo hili itolewe kabisa au la sivyo yawekwe matuta ili kupunguza mwendo.
   

  Attached Files:

 2. c

  chibhitoke Member

  #2
  Jun 3, 2010
  Joined: Jun 1, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umenipelekea kukumbuka maeneo hayo nilipokuwa naelekea Mlowo, hapo ni karibu na Iwambe duuu..............Mbeya
   
Loading...