Stendi mpya ya mabasi Dodoma mbioni kukamilika

afu stand yenyewe iko mbaliiiiiiiiii na mji# ABC for life mpaka area c inakuleta........and first choice adi wajenzi na kmbinyiko at least
Acha uvivu felister mbona Ni karibu Sana hapo mtazoea tu.. Watu wanatoka mbagala mpaka ubungo na wanawahi basi.. Sisi hapo nanenane tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoka mbagala adi ubungo kwenye list nimo bt it depends ni unatokea mbagala ipi........8 8 kubayaaa kwanza lile vumbi asee wajenge tu haraka pakamilike afu nasikiaga maji ya uhai ya pale uwa ni ya bombani wanafanya figisu tu wanayafunga upya😀😀ila umbali tatizo kwanza daladala mpaka uzifate 7 7 kule nako ni inshu😛😛just imagine natokea maili mbili niende adi town, nifike town nichape lapa adi 7 7 ndo nipande hiace adi 8 8 ukifika mchoko kama wote je na watoka UDOM esp. kule ng'ong'ona😀😀ila nkubalie tu 88 panachosha yani uipite adi kisasa🙄🙄 unasonga tuu hmm wew
 
Sasa umekua muongo bwana. Maili mbili gani hiyo unayoiongelea? Wanaopanda hizo gari tatu Ni Wale wanaotoka nala huko. Na sehemu za huko. Sasa ulitaka stand ishushwe tu.. hata Roma haikujengwa kwa siku. Moja... We uko wapi kwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa umekua muongo bwana. Maili mbili gani hiyo unayoiongelea? Wanaopanda hizo gari tatu Ni Wale wanaotoka nala huko. Na sehemu za huko. Sasa ulitaka stand ishushwe tu.. hata Roma haikujengwa kwa siku. Moja... We uko wapi kwani

Sent using Jamii Forums mobile app
nazungumzia mailimbili ya around chuo cha mipango, pale adi town ni gari moja ukifika stand itakubidi utembee adi 7 7 ili uzikute gari zinazoenda huko 8 8...now sipo huko
 
Gari zote zina shusha sabasaba ndo Kama stand ya muda. So ukishuka hapo unapanda ya huko unakoenda .nanenane.. Kule jamatin kuliisha fungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari zote zina shusha sabasaba ndo Kama stand ya muda. So ukishuka hapo unapanda ya huko unakoenda .nanenane.. Kule jamatin kuliisha fungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
maybe now but me nimetoka huko july jamatini kulikua kushafungwa ila gari za kutokea mipango zilikua zinapaki soko la majengo afu pia nisikatae bure maaana mi sio mtembezi kivile nilikuaga naishia squire😀😀nakataa road road zile mpaka majengo sokoni
 
Basi wawe wanatupatia na kila mwisho wa mwezi picha za ujenzi unavyoendelea
 
Hongera zao kidumu tu kisiwe maji kupwa na maji kujaa kipindi cha masika
 
View attachment 1007480
Kituo cha kisasa cha mabasi jijini Dodoma kitakuwa kimekamilika ifikapo mwishoni mwa mwaka huu, imeelezwa.

Hayo yalielezwa juzi na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mohammedi Builders, Tahir Mustapha alipozungumza na waandishi wa habari.

Kampuni hiyo ndiyo inajenga soko la kisasa na kituo hicho cha kisasa eneo la Nzuguni jijini hapa.

Mkurugenzi huyo alisema mradi wa ujenzi wa stendi unaendelea vizuri na mpaka ifikapo mwisho wa mwaka huu utakuwa umekamilika.

Alisema kampuni yao ni ya kizalendo na wanamshukuru Rais kwa kutoa maelekezo makampuni ya wazawa yapewe nafasi katika miradi mikubwa.

Mkurugenzi huyo aliahidi kuitekeleza miradi yote kwa wakati kutomuangusha Rais Dk. Magufuli.
Ujenzi umeanza lini wakati nimepita hapo juzijuzi tu, panafuka vumbi la kufa mtu. Eti 'unakaribia kukamilika'!

Watu wazushi nyie!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom