Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,383
- 7,980
Ni mbali kweli si mchezoIgumbilo,au nishaanza kupasahau Iringa?mbona napaona mbali ?
Unapotoka mbeya au ukanda huo kubali kushukia kitwiru unless lazma igumbilo unapotoka ukanda wa dom lazma ushuke kihesa
Nachojiuliza mimi utaratibu huu umewekwa kwa faida ya nani sababu hakun ulazima kulazimisha abiria kushushiwa mpaka stend swaa la kuamishwa stendi sio tatizo [/QUOTE]Pole sana. Utazoea tu na utaona kawaida.
Wangehamisha yale makaburi pale Samora ili stand iwe paleUnapotoka mbeya au ukanda huo kubali kushukia kitwiru unless lazma igumbilo unapotoka ukanda wa dom lazma ushuke kihesa
Kuna uwezekano kuna wahusika wamepokea rushwa kulazimisha abiria kwenda kushushiwa mpaka igumbiloWangehamisha yale makaburi pale Samora ili stand iwe pale
Kama ni kero washangilie?Watanzania kwa kulaumu? Mmejaaaliwa
Dodoma je, mbona watu walilalamika hivyo hivyo. Watazoea tu. Hata kutoka MMnazi mmoja kwenda Ubungo watu tulilalamika.
Kuhamisha stendi maporini ni ujinga na ujuha wa hali ya juu, kuna wajinga wengine kule Mwanza wanataka wahamishe stendi zote maporini wakat kuna maeneo konki ya waz mengi tu mjini, unapeleka stend km 20 away from city center kweli
Ndugu zetu wa mikoani mmezoea kila kitu hapo hapo center wenyewe mnaita mjini. Huku Daslam tushazoea kila sehemu mjini. Miaka hiyo stendi ya mabasi ya mkoa ilikua Kamata. Ikapelekwa Ubungo, na tungekua na uongozi sahihi. Saa hizi tungekua tunapandia mabasi sijui mbezi huko.Kuhamisha stendi maporini ni ujinga na ujuha wa hali ya juu, kuna wajinga wengine kule Mwanza wanataka wahamishe stendi zote maporini wakat kuna maeneo konki ya waz mengi tu mjini, unapeleka stend km 20 away from city center kweli
PointWangehamisha yale makaburi pale Samora ili stand iwe pale