Muziki tamu sana, ila kukaa Ulaya/ na maigizo ya kuzidi kumemfanya apoteze sana Afrikan Vibe kitu ambacho kinamkosesha upekee katika soko la Kimataifa. Anabaki tu kuwa Mkenya anayetamba majuu...