steaming na mama mja mzito

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
1,253
1,028
habari za zenu wana jf? nina imani kuwa wote mko salama. mie nina hoja yangu moja ya kiafya.
mke wangu ana mimba ya miezi minne sasa anakaribia w tano sasa.
ishu inakuwa hivi; mie nipo safarini kikazi hii ni wiki ya pili sasa na nategemea kurudi home ijumaa ya kesho kutwa.
utata unakuja ni kuwa mara nyingi nilikuwa namuona wife kasuka weaving au yebo yebo ila jana naongea naye kwenye simu ananambia yupo saluni anafanya steaming.
swali langu ni kuwa hiyo steaming haina madhara yeyote kwa mama wala mtoto?
naombeni michango yenu katika hili.
 
Mke akiwa mjamzito ni bora anyoe nywele kabisa kuepuka usumbufu na hatari yoyote
 
Mimi huwa naosha na kukausha nywele kwa kutumia dry ya mkono. Kuingia kwenye steamer mpaka nitakapojaaliwa kujifungua. hii mimoto ni hatari sana.
 
ahsanteni kwa miongozo yenu wadau. nitanitahidi kumzuia asiende tena kwenye hiyo kitu if it ever to happen again na ndio maana nafsi yangu ilisita sana
 
kama anataka asuke nywele za mkono otherwise anyoe kabisa,maana ni hatari sn hayo madubwasha
 
ahsanteni jamani, ushauri wenu utazingatiwa, mnajua tena changamoto za first born bado hatuna experience sie.
 
Back
Top Bottom