Stay away from Bitcoin crazy

Kiongozi kama ulivyo sema mwishoni MwA mwaka wengi wanauza Bitcoin ili wa finance siku kuu za mwisho WA mwaka na hivyo kufanya Bitcoin ishuke. Tegemea irudi mahali pake katikati ya January. Hiki ni kipindi kizuri kununua na kuzihold
 
Vipi one coin ,maana na yenyewe imepanda sana mpaka kufikia Euro 20.75 kwa leo
 
Nimetunza heshima yangu humu kwa miaka mingi sana. Nilikuwa situkani mtu humu hata wamiliki wa JF wanaweza kuthibitisha hilo. Ila uvumilivu huo sinao tena na hakuna mipaka.

Umetusiwa wewe bosi au mama ako,

Kama kakutusi wewe kwanini usirudishe kwako,

Usijivunjie heshima yako bosi
 
Nimetunza heshima yangu humu kwa miaka mingi sana. Nilikuwa situkani mtu humu hata wamiliki wa JF wanaweza kuthibitisha hilo. Ila uvumilivu huo sinao tena na hakuna mipaka.
Sasa reality ni kwamba kichaa akikunyang’anya taulo halafu ukaanza kumkimbiza ukiwa mtupu wewe ndo unaonekana kichaa busara haina kikomo kwamba nili-behave sana miaka ya nyuma sasa sitakiwi kubehave
 
And the closure of Coinbase in the US is the start.
The "monkey buyer" is leaving the market.
 
wewe ndio mpumbavu wa kiwango cha lami kenge wewe hujui chochote kuhusu bitcoin mbwa wewe we unaokota habariza kwenye google na kutuletea huku mimi bitcoin ninazo na soko lake nalijua pumbavu wewe
Ha ha sio kwa matusi haya
 
hakuna mtu anaecontrol soko la bitcoin....bitcoin inajiendesha yenyewe na soko lake liko limited yaani hamna bitcoin nyingine mpya zinazoingia sokoni.....
Hapo ndo unapoanzia kupigwa na wajanja wachache....kwa hiyo we unaamini soko liliajianzisha lenyewe tu na halina mmiliki?
Ni nani anayeisimamia na kuidhibiti digital platform ambako trading inafanyikia?
Na endapo conversion ya bitcoin into hard cash ikishindikana, hizo bitcoin (zilizo online tu) zitakuwa na thamani gani kwa 95% ya wawekezaji wa level yako?
Thats where the monkey business starts.
Stay away from Bitcoin crazy
 
In 2018 I want to be satoshi nakamoto,,bitcoin haiwezi kufa kwani founder wake ana bitcoin za almost 20 us billion dollars,that's a single individual,na tokea bitcoin iwe official hajawahi kuzitumia,so in time of need he will come to the rescue,,,hawa jamaa walijipanga,,,,
One wise man said"in the era of digital currencies,no matter what happens,technology shall triumph "
 
Huyo jamaa ni kichaa nilikuwa namuona wa maana kumbe ni lofa asiejua lolote lile,


Halafu hawa ndio wapinzani wanaotaka kupewa nchi , Acha Mzee wa Chatle atawale hata miaka 100
 
Soko halikujianzisha lenyewe,,,,unawafahamu bitcoin foundation,,,, inaonekana huna taarifa sahihi
 
Bitcoin imetajirisha sana watu, kuna kipindi ilikuwa sawa na dolali kipindi naanza kuifaham. Ghafla tu ikapanda mpaka laki kadhaa hapa kuna watu walivuna pesa kama machizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…