Stay away from Bitcoin crazy

Kupanda na kushuka ndipo biashara ilipo, ukiwa vizuri ktk analysis utatengeneza faida kubwa ikiwa inashuka kwa kuuza.

Baada ya kumark resistance ,kinachofuata ni kutafuta new support.

Tatizo la traders wengi duniani wanaamini kama ni uptrend basi itaendelea mpaka mawinguni,ukweli market haiko hivyo ,iwe ni cryptos ,stocks , forex or commodities.

Ni muhimu kijelimisha vya kutosha kabla ya kufanya biashara za mtandaoni,wengi wanafanya kwa kufuata mkumbo na wanadhani hizi ni biashara rahisi wakati ukweli si rahisi,zinahitaji knowledge isiyo ya kubahatisha
 
Kabisa Mkuu watu wanataka utajiri wa haraka haraka hata kutumia akili japo kiduchu tu hawataki!!!

Yaan kuna vitu havihitaj ata elimu ya darasan kuvistukia. Ivi unaanzaje kufnya biashara na watu wa online hawana ofisi?? Je huwez kufkiria kama kuna cku wanazima system utawapata wapi??
 

no one can stop bitcoin
hii message mtumie bill gate maana na yeye ameinvest bilion of USD
 
bitcoin inapanda na kushuka kila siku....si ajabu kesho ikapanda mpaka kufikia $30,000......naifuatilia kila siku mkuu wangu hicho n kitu kilichotegemewa hakuna jipya
Bitcoin kushuka au kupotea hyo tusahau Japan wabatumia km fedha ya nch kwa matumiz na ipp tokea 2008 hii ni mwanzo mwsho
 
yes chief watu wanataka graph ipande tu kama x=y graph bila ups and downs na ikidrop kidogo wanaona ni utapeli.
 
Itakua wanatoa hela zao kwa ajili ya school fees January
 
yes chief watu wanataka graph ipande tu kama x=y graph bila ups and downs na ikidrop kidogo wanaona ni utapeli.
Tatizo hawapendi kujielimisha,laiti wangekuwa na taarifa sahihi huwezi shangaa market ikitafuta support baada ya kumark new resistance
 
Yaan ww ni msomi au mtu wa kukariri ujuha wako utakufanya uish maisha ya shda hd unakufa wenzio wanatoboa kuna vitabu vn vimeandk hbr ya bitcoin km hujui kaa kmya usijufanye unajua kila kitu alfu unspotosha watu
 
Hii inaweza kuporomoka zaidi kwani wengi machale yameshawacheza hii kitu ni utapeli tu. Watu watacheza nayo mbali na hivyo kusababisha kasi ya kuporomoka iwe kubwa sana. Ngoja tusubiri tuone muelekeo.
Bitcoin is fueled with black market activities.... Illicity drugs, illegal sale of arms and all sorts of traffickers use bitcoin as a safe haven!
 
Dah! Juzi tu hapa nilimweleza Luhanyula faida na hasara za Bitcoin kwamba anguko la cku moja tu linaweza kukufanya upite kuwapa shikamoo watoto!
Brother chige asante brother kuna jamaa yangu mmoja hivi anafanya hii BTC naona kupata dola 50 mpaka 100 kwa siku nikitu chakawaida.Nami nilitaka niingie nikahofu,ndio nikaiona pia forex humu nipo nasomasoma vitabu ingawa nayo pia bado nahofu.
 
We don't stay

We read the bearish candlesticks

Then tunashuka nayo, we sell them !

Those who don't understand the rules of the game are the ones bluffing out here !

Hallah forexcrypto champs !
 
Acha walizwe ndiyo watatia akili kichwani.
Kaka wew ninakukubali lkn katika sikubaliani nawe kabisa.
Tunza hii post kuwa tukivuka mwaka mpya BITCOIN ITAPANDA HADI $30,000
tusibishane tusubirie muda utuamue kaka.
Huwezi kujua kila kitu kama hili hulikubali wengine wanafaidi au hata wengine waliingia kipindi kibaya kama hiki nao wamelia, lkn watakaovumilia kipindi hiki next year watavuta mpunga mrefu.
Bado sijawekeza huko lkn naelewa kinachoendelea na natamani niingie kipindi hiki cha mdororo
 
Ngoja siku Trump akiiongelea tuone itavyo dondoka
 
duuuh! watu wanakaa wanafikiria mifano rahisi ya kufafanua hili jambo kama kiuhalisia iko hivyo nashauri watu wauze mapema na kusepa
 
Hizi data za kukurupa na kutocopia huko na kuja kupaste apa bila ata kuzichambua ni Ujuha, Mwezi September 1 Btc ilikuwa ni 9million TZS leo December 23 Muda huu ninapo type 1 Btc ni 31 Million Tzs bado mtu anadai imeshuka hahaha, Ivi shule mlienda kusomea Ujinga??(In FF voice) Juzi apa 1btc ilifika mpaka 40mill Tzs, Afu jamaa nilipokuona Umekurupa Eti sijui unasema watatafutwa wazilishi haha sio kila kitu lazima uandike kwa kujuza tu Cryptocurrency hii bitcoin founder wake wala hajawah kufahamika hii decentralised currency japo apo title yake.

Anyway Nakukaribisha Umwage POVU jingi ili nifulie boxer zangu
 
Dah sisi ngoja tuendelee kubeba zege izo bitcoin chezeni nyiny
 
Reactions: BAK
Ka copy uko na kupaste leo 1 btc ni 31m tsh September ilikuwa 1 btc ni 9m
 
wewe ndio mpumbavu wa kiwango cha lami kenge wewe hujui chochote kuhusu bitcoin mbwa wewe we unaokota habariza kwenye google na kutuletea huku mimi bitcoin ninazo na soko lake nalijua pumbavu wewe
Mkuu jamaa mpuuze hajui ata soko linaendaje, Ameokoteza uko article kaja kupaste apa anadhani kila mtu ni kilaza umu, Mimi pia nina hold bitcoin na nalijua soko, Jamaa hana hoja wala kujua kinachoendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…