Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,689
- 26,570
Achana naye huyo, hapo ukute kachangia hivyo akidhani mnaponda jitihada za CCM. Labda anadhani Bitcoin ni aina ya Bank iliyoanzishwa na awamu ya tano (5)Wewe mpumbavu kweli! Article inaonyesha imeanguka kwa 25% sasa nimepotosha kipi ZWAZWA wewe!!!! Kama huelewi uliza badala ya kukurupuka na kuandika upuuzi wako.
wewe ndio mpumbavu usioelewa chochote....unazungumzia article wakati mimi namiliki bitcoin na soko lake nalijua inaweza kushuka 25% na kupanda 50% ndani ya masaa 24....acha ujinga watu tumejenga nyumba kwa ajili ya bitcoin.......Wewe mpumbavu kweli! Article inaonyesha imeanguka kwa 25% sasa nimepotosha kipi ZWAZWA wewe!!!! Kama huelewi uliza badala ya kukurupuka na kuandika upuuzi wako.
Mkuu BAK naamin kabisa wewe ni mtu smart sana,
Na kabla ya kufanya chochote huwa unajiridhisha kwanza kwa data na kautafiti kidogo,
Unanisikitisha sana unaposema huu ni utapeli,
Nilitegemea ulete graph za bitcon kila mwezi december na january ili ulinganishe na kinachoendelea sasa
Mwishoni mwa mwaka na mwanzoni mwaka bitcon huwa inashuka sijajua kwanini
Kiuhalisia bitcoin huenda mpaka April 2018 itakuwa ipo juu sasa probably $30000,
Nakwenda kukutafutia data sheikh wangu
nilinunua bitcoin 350,000 nikauza milioni 16,500,000....ndani ya mwaka mmoja tatizo nyie nyumbu wa CHADEMA kazi hamtaki kufanya mmebaki kumtukana MagufuliUmeona eh! Ngoja tuangalie wengi hii kitu wengi wanaweza kulizwa kilio cha mbwa mdomo juu.
BAk jaribu kufanya tafiti za kutosha kuhusu hii kitu bitcoin sio utapeli kama unavyotaka kuwaaminisha watuHii inaweza kuporomoka zaidi kwani wengi machale yameshawacheza hii kitu ni utapeli tu. Watu watacheza nayo mbali na hivyo kusababisha kasi ya kuporomoka iwe kubwa sana. Ngoja tusubiri tuone muelekeo.
wewe ndio mpumbavu usioelewa chochote....unazungumzia article wakati mimi namiliki bitcoin na soko lake nalijua inaweza kushuka 25% na kupanda 50% ndani ya masaa 24....acha ujinga watu tumejenga nyumba kwa ajili ya bitcoin.......
wewe ndio mpumbavu wa kiwango cha lami kenge wewe hujui chochote kuhusu bitcoin mbwa wewe we unaokota habariza kwenye google na kutuletea huku mimi bitcoin ninazo na soko lake nalijua pumbavu weweWewe jamaa ni mpumbavu mkubwa sana kwa hiyo kama umejenga nyumba kwa Bitcoin ndiyo iweje ZWAZWA wewe!? Usirukie mjadala kama hujui kinachozungumzwa.
Ficha upumbavu wako.
usifanye kila kitu kwa mhemuko wa kisiasa hii kitu inahitaji elimu kwa hawa ndugu zetunilinunua bitcoin 350,000 nikauza milioni 16,500,000....ndani ya mwaka mmoja tatizo nyie nyumbu wa CHADEMA kazi hamtaki kufanya mmebaki kumtukana Magufuli
BAk jaribu kufanya tafiti za kutosha kuhusu hii kitu bitcoin sio utapeli kama unavyotaka kuwaaminisha watu
hii digital currency inatendency ya kupanda na kushuka tangu imeanzishwa na sababu kubwa ni kwamba hamna wa kuicontrol kama zilivyo currency za nchi mbalimbali kwahiyo thamani yake inakuwa determined na force za demand na supply
kuinvest bitcoin sasa hivi umeshachelewa ndugu yangu sasa hivi iko juu sana kama ni ndege ndio imeshapaa hiyo walioinvest mapema ndio wameshatoka hivyo kainvest kwenye ethereum labda huko bado haiko juu sanausifanye kila kitu kwa mhemuko wa kisiasa hii kitu inahitaji elimu kwa hawa ndugu zetu
wanashindwa kujua kama huu ndio muda mzuri wa kuinvest mimi nakumbuka china ilipopiga marufuku bitcoin ilishuka sana thamani na ndio ulikuwa muda mzuri sana wa kununua na kuzihold
Guarantor wa hii currency ni nani? Na ni nani kampa mamlaka hayo? Mfano BOT ndio Guarantor wa TShs; yaani wanakupa noti ili kuwakilisha kiwango sawia cha dhahabu/ mali zingine na wao wana-guarantee kwamba utapata bidhaa / huduma kwa kiwango sawia na noti yako kulingana na hali ya soko. Mamlaka ya BOT wamepewa na wananchi.hakuna mtu anaecontrol soko la bitcoin....bitcoin inajiendesha yenyewe na soko lake liko limited yaani hamna bitcoin nyingine mpya zinazoingia sokoni.....
Hahaaa asante mkuu.Want to know about
*BITCOIN*
A lot of monkeys lived near a village.
One day a merchant came to the village to buy these monkeys!
He announced that he will buy the monkeys @ $100 each.
The villagers thought that this man is mad.
They thought how can somebody buy stray monkeys at $100 each?
Still, some people caught some monkeys and gave it to this merchant and he gave $100 for each monkey.
This news spread like wildfire and people caught monkeys and sold it to the merchant.
After a few days, the merchant announced that he will buy monkeys @ 200 each.
The lazy villagers also ran around to catch the remaining monkeys!
They sold the remaining monkeys @ 200 each.
Then the merchant announced that he will buy monkeys @ 500 each!
The villagers start to lose sleep! ... They caught six or seven monkeys, which was all that was left and got 500 each.
The villagers were waiting anxiously for the next announcement.
Then the merchant announced that he is going home for a week. And when he returns, he will buy monkeys @ 1000 each!
He asked his employee to take care of the monkeys he bought. He was alone taking care of all the monkeys in a cage.
The merchant went home.
The villagers were very sad as there were no more monkeys left for them to sell it at $1000 each.☹
Then the employee told them that he will sell some monkeys @ 700 each secretly.
This news spread like fire. Since the merchant buys monkey @ 1000 each, there is a 300 profit for each monkey.
The next day, villagers made a queue near the monkey cage.
The employee sold all the monkeys at 700 each. The rich bought monkeys in big lots. The poor borrowed money from money lenders and also bought monkeys!
The villagers took care of their monkeys & waited for the merchant to return.
But nobody came! ...Then they ran to the employee...
But he has already left too !
The villagers then realised that they have bought the useless stray monkeys @ 700 each and unable to sell them!
The Bitcoin will be the next monkey business
It will make a lot of people bankrupt and a few people filthy rich in this monkey business.
That' how it will work